Posts

Showing posts from September, 2014

KUNDI LA WAMAREKANI WAJA NCHINI KUTIZAMA FURSA ZA UWEKEZAJI.

Image
Baadhi ya Marais,Wenyeviti na Wakurugenzi wa Makampuni mbalimbali ya nchini Marekani waliokuja nchini kwa lengo la kutizama fursa za uwekezaji . Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Washington DC,Suleiman Saleh (katikati) akibadilishana mawazo na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya kufua Umeme ya TANASI ,William Crawford.Ziara hiyo inayo ratibiwa na Ubalozi wa Tanzania,Washington DC ni ya siku ambapo wageni hao wataembelea sehemu mbalimbali kujionea fursa za uwekezaji. Afisa Ubalozi wa Tanzaini ,washington DC ,Suleiman Saleh akizungumza juu ya ujio wa wageni hao 11 kutoka Marekani ambao wako nchini kwa ajili ya kutizama fursa ya uwekezaji.Hii ni mara ya tatu sasa Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya  Marekani wanafika nchini ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa Rais Kikwete kutekeleza Dipromasia ya Uchumi. Rais wa Kampuni ya Ahmed's Moving Express,Inc  ,Ahmed Issa,ambaye pia ni Balozi wa heshima akizungumza na waandishi wa habari katika hotel ya Mount Meru, jijini Arusha kuh

GARI DOGO LATEKETEA MOTO JIRANI NA OFISI ZA KAMANDA WA POLISI KILIMANJARO

Image
Gari dogo aina ya Suzuki Carry likiteketea moto katikati ya barabara maarufu kama Double Road jirani na makao makuu ya jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro. Kikosi cha zima moto cha manispaa ya Moshi kilifika eneo la tukio kwa ajili ya kuudhibiti moto huo. Askari wa Kikosi cha zimamoto akijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza gari hilo. Baadhi ya mashuhuda wakitizama moto ulivyokuwa ukiteketeza gari hilo. Askari wa kikosi cha zima moto walifanikiwa kuuzima moto huo. Hata hivyo sehemu ya mbele ya gari hilo tayari ilikuwa imeteketea moto kwa kiasi kikubwa. Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

AMERICAN COUPLE GET MARRIED ON MOUNT KILIMANJARO

Image
The newly expected couple Richard Miller and Kara Lee from America poses in a picture at Shira Cave point shortly before descending to a place where they exchanged vows in Mount Kilimanjaro yesterday. Chief Park Warden for Kilimanjaro National Park Erastus Lufungulo (right) and TANAPA’s Corporate Communications Manager Pascal Shelutete (second left) poses in a picture with the newly expected couple at Shira Cave point shortly before they exchanged vows in Mount Kilimanjaro.   It was not easy an easy task for this couple as seen here in a red and black jacket far behind passing across hard rock on Mount Kilimanjaro when they were heading to their wedding venue. The newly expected couple arriving at the venue of their wedding in Mount Kilimanjaro.   Here the newly expected couple was seen more than happy, as they were about to fulfill their long dream of getting married in Mount Kilimanjaro. Choir of St. Clara from Moshi was there to deliver Christians wedding song

WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YALIVYOZIDULIWA MKOANI KILIMANJARO JANA

Image
Mwenyekiti wa Kamati ya usalama barabarani mkoani Kilimanjaro, Christopher Lyimo akimkabidhi zawadi mgeni Rasmi, Katibu Tawala wa mkoa huo, Dk. Faisal Issa Kamanda wa Polisi wilaya ya Moshi, Hendry Mwakabonga, Mgeni Rasmi, Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Faisal Issa pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya usalama barabani, Christopher Lyimo, wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa. Kamanda wa Polisi wa wilaya ya Moshi, Hendry Nguvumali akisoma risala ya Kamati ya usalama barabarani kwa niaba ya Katibu wa Kamati hiyo, Kamanda wa usalama Barabarani mkoa wa Kilimanjaro, Joseph Mwakabonga. Sehemu ya maandamano katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani kimkoa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Stendi kuu ya Moshi. Madereva wa Pikipiki za kusafirisha Abiria "Bodaboda" nao walishiriki maandamano ya uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani, ambayo kitaifa yalifanyika mkoani Arusha. Dkt. Faisal Akikata utepe kuashiria uzinduzi wa maadhimisho ya w