Posts

Showing posts from July, 2014

MAKOCHA WA FC BARCELONA WAWASILI KUTOA MAFUNZO KWA MAKOCHA WA TANZANIA.

  CASTLE Lager, bia inayoongoza barani Afrika na FC Barcelona, moja kati ya timu kubwa zaidi za soka duniani wameshirikiana kuleta makocha kutoka klabu hiyo yenye makao yake huko Camp Nou, Hispania ili kutoa mafunzo ya mbinu za soka kwa makocha wa Tanzania wiki hii. Makocha hao wa FC Barcelona ambao wataendesha mafunzo hayo wamefika jijini Dar es salaam leo (31/8/2014).  Mafunzo hayo yatafanyika kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam kwa siku mbili zijazo ambazo ni tarehe 1 na tarehe 2 Agosti na yataendeshwa na makocha waliobobea kwenye mbinu mbalimbali za kandanda ikiwemo Tiki Taka. Makocha hawa ni Daniel Bigas Alsina and Isaac Oriol Guerrero Hernandez kutoka Shule ya Soka ya FB Barcelona. Mafunzo haya ni sehemu ya manufaa ya ushirikiano uliosainiwa mwaka jana kati ya FC Barcelona na Castle Lager ambayo ni bia rasmi ya FC Barcelona barani Afrika. Vilevile, mafunzo haya ni sehemu ya manufaa ya ushirikiano huu kwa jamii.  Kupitia mafunzo haya, ma

MBUNGE JOSHUA NASSARI AONGEA NA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

Image
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza jambo na rais wa Marekani Barack Obama alipokuwa akiingia ukumbini kwa ajili ya mkutano wake na kundi la Viongozi vijana toka nchi mbalimbali barani Afrika walioko nchini Marekani kwa ajili ya mafunzo. Rais Obama akisalimiana na viongozi vijna toka nchi mbalimbali barani afrika aliokutana nao baada ya kuhitimu mafunzo ya wiki tisa yaliyokuwa yakiendelea nchini humo.

Tizama:PICHA 70 ,MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MPIGANAJI HENRY LYIMO (KIPESE).

Image