Posts

Showing posts from May, 2016

Uzinduzi wa msimu mpya wa Maisha Plus East Africa 2016 wafana

Image
 Masoud Kipanya, miongoni mwa waanzilishi wa Maisha Plus na mtangazaji wa kipindi hicho akizungumza  wakati wa hafla ya ufunguzi i liyofanyika jana usiku  katika viwanja vya Studio za Azam Tv na kutegemewa kuanza kuonyeshwa mapema jumapili hii saa tatu usiku katika channel ya Azam Two. Na kauli mbiu ya mwaka huu ni #HAPA KAZI TU  Masoud Kipanya, miongoni mwa waanzilishi wa Maisha Plus na mtangazaji wa kipindi hicho akifurahi jambo na washiriki wa vipindi vvilivyopita vya Maisha plus  wakati wa hafla ya ufunguzii liyofanyika katika viwanja vya Studio za Azam Tv na kutegemewa kuanza kuonyeshwa mapema jumapili hii saa tatu usiku katika channel ya Azam Two.Na kauli mbiu ya mwaka huu ni #HAPA KAZI TU                          Wasanii Vitali Maembe na Jhikoman wakitoa burudani katika uzinduzi huo. Mwanahabari na bloger John Bukuku akihojiwa na mtangazaji wa Azam Tv Benerick ambaye pia alikuwa ni mmoja wa washiriki wa msimu uliopita wa maisha plus.

WILAYA YA MPWAPWA KUFANYA HARAMBEE YA KUPATA MADAWATI JIJINI DAR ES SALAAM JUNI 4, 2016

Image
  Mkuu wa Wilaya  ya Mpwawa iliyopo mkoani Dodoma, Mohamed Utaly (wa pili kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu harambee ya kupata fedha za kununulia madawati itakayofanyika Juni 4 mwaka huu Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Donald Ngwenzi,Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Mohamed Maje na Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi, Samuel Albertus Coy.   Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Mohamed Maje (kulia), akisisitiza jambo kwenye mkutano huo. Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Donald Ngwenzi, akizungumza kwenye mkutano huo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mohamed Utaly.                                      Na Dotto Mwaibale HALMASHAURI ya Wilaya ya Mpwapwa Dodoma Juni 4 mwaka huu inatarajia kufanya harambe ya kupata fedha za kununulia madawati kwa ajili ya shule za msingi na sekondari wilayani humo ambayo itafanyika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Akizungumza

JK AWAFUNDA VIJANA WA CCM VYUO VIKUU JIJINI DAR ES SALAAM

Image
  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akihutubia katika mahafali ya 2016 ya Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CCM yaliyofanyika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo jioni.   Vijana vyuo vikuu Dar es Salaam wakiserebuka katika mahafali yao.  Vijana hao wakiendelea kuserebuka.  Hapa ni furaha kwa kwenda mbele. Ni kama wanasema'  Hapa ni ushindi tu 2020 kwani vijana tumejipanga. Vijana wakiwa kwenye mahafali hayo. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

MBARONI KWA WIZI WA MAJI MSIMBAZI BONDENI.

Image
Maelezo ya picha kushoto :  Fundi kutoka Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO) akiondoa Mpira wa Maji uliokuwa umeunganishwa kwenye kisima kinyume na utaratibu ambapo walikuwa wakitumia huduma ya Maji bila kuwa na mita wala akaunti namba ambapo walinzi jengo hilo awali walidai maji wanayotumia ni ya kisima kwenye jengo lilipo eneo la Msimbazi Bondeni jijini Dar es Salaam. Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es Salaam (Dawasco) limebaini wizi mkubwa wa Maji katika eneo la kata ya Ilala mchikichini mtaa wa Msimbazi Bondeni ambapo walinzi wa jengo hilo walikuwa wamejiunganishia huduma ya Maji kinyume cha utaratibu nakujifanya kuwa wanatumia Maji ya Kisima. Akizungumza kwenye eneo la tukio Afisa biashara msidaizi  wa Dawasco Ilala Sezi Mavika amesema kuwa jengo hilo haliishi mtu bali wapo walinzi tu na mwenye jengo hilo anajulikana kwa jina moja tu la Duncan na kueleza kuwa walinzi hao wamejiunganishia huduma ya Maji kwa muda mrefu na wanatumi

BWANA EDWIN MASHAYO NA BI. MARY MOLLEL WAUAGA UKAPELA

Image
Bwana Edwin Mashayo na Bi. Mary Mollel wakionyesha vyeti vyao vya ndoa mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la KKKT - Umoja lililopo chuo kikuu cha Dar es Salaam leo May 28, 2016. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog -(Kajunason Studio). Bwana Edwin Mashayo na Bi. Mary Mollel wakionyesha vyeti vyao vya ndoa mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la KKKT - Umoja lililopo chuo kikuu cha Dar es Salaam. Pembeni ni wasimamizi wao. Waumini waliohudhuria. Mchungaji wa Kanisa la KKKT - Umoja lililopo chuo kikuu cha Dar es Salaam akifungisha ndoa ya Bwana Edwin Mashayo na Bi. Mary Mollel. Bwana Edwin Mashayo na Bi. Mary Mollel wakila kiapo. Bwana Edwin Mashayo na Bi. Mary Mollel wakila kiapo. Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa akitoa sadaka. Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa akisaini katika cheti kama shaidi wa ndoa hiyo mara baada ya Bwana Edwin Mashayo na Bi. Mary Mollel kufunga ndoa. Waziri Mkuu mstaafu Edward L

TANCDA YAPIMA AFYA ZA WABUNGE DODOMA

Image
 Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang'ata (CCM) Mkoa wa Rukwa, akipimwa mapigo ya moyo wakati wa programu maalumu ya wabunge kupimwa afya zao. Programu hiyo ilifanywa bure na Shirikisho la Vyama vya Magonjwa yasiyo ya Kuambukiza katika Zahanati ya Bunge, Dodoma leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Leonidas Gama akipimwa afya na Muuguzi Asha Shao bungeni Dodoma  Mbunge wa Viti Maalum, Joyce Sokombi akipimwa afaya na Muuguzi kutoka Hospitali ya Mkoa wa Dodoma Asha Shao. Katikati ni muuguzi mwingine Christina Chamwela  Mhudumu wa Afya wa Hospitali ya Dodoma akimpima kimo Mbunge  Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Costantine Kanyasu akipimwa mapigo ya moyo  Mbunge Kanyasu akipimwa kimo  Mbunge wa Jimbo la Nachingwe, Hassan Masala akipimwa kimo  Mbunge wa Jimbo la Makambaku, Deo Sanga akipimwa afya Baadhi ya wabunge wakipata ushauri nasaha