Posts

Showing posts from December, 2013

WATANO WASHIKILIWA KWA UJAMBAZI KILIMANJARO

Image
Na Dixon Busagaga,Moshi. POLISI mkoani Kilimanjaro imefanikiwa kunasa mtandao wa watu wanaodaiwa kujihusisha katika matukio mbalimbali ya unyang’anyi na uporaji wa kutumia silaha za moto ya hivi karibuni baada ya kumkamata mtuhumiwa mwingine na kufanya idadi yao kufikia watano sasa. Mbali na kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo pia polisi wamefanikiwa kukamata bastola aina ya Browning yenye namba 0663 TZ CAR 75516 pamoja na risasi moja ya bastolailiyotambuliwa kuwa ni mali ya Evance Masuki(54)mkazi wa Majengo mjini Moshi iliyoporwa na watuhumiwa hao October 12 mwaka huu. Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Robrty Boaz alisema katika uchunguzi wa kina ikiwa ni pamoja na kuwahoji watuhumiwa ,watu hao walikubalia kuonyesha silaha hizo pamoja na risasi tatu za Shortgun ambayo inadaiwa kuhusika katika mauaji ya mfanyabiashara wa mbao mjini hapa Nickson Mushi. “Katika hatua za uchunguzi tumebaini kuwepo uhusiano na ushiriki wa silaha aina ya shortgun katika

News Alert:SITA WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA KIFUSI KILIMANJARO

Image