Posts

Showing posts from June, 2015

ACACIA YAKUSANYA SHILINGI MILIONI 800 ZA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU, BAADA YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Image
  MKUU wa wilaya ya Tarime Mkoani Mara, Glorious Luoga, (Katikati), akinyanyua juu mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 800, baada ya kukabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampouni ya Acacia, Brad Gordon, (kushoto), katika hafla fupi iliyofanyika kwenye lango la kushukia kutyoka kilele cha  Mlima Kilimanjaro, Mweka, Juni 28, 2015,  Fedha hizo ambazo ni kwa ajili yab kusaidia sekta ya eli kwa watoto kutoka familia duni, zimetokana na wafanyakazi wa Acacia na familia zao pamoja na marafiki, kupanda Mlima Kilimanjaro kwa nia ya kuchangisha fedha chini ya mpango wa kampuni hiyo wa "CanEducate". Kampuni ya Uchimbaji Acacia, inayojishughulisha na uchimbaji na utafutaji madini, , imekusanya zaidi ya shilingi milioni 800 kupitia upandaji wa hisani wa mlima Kilimanjaro ambao unalenga kuchangisha fedha za kusaidia sekta ya elimu nchini chini ya mpango wa “CanEducate”, uliobuniwa na kampuni hiyo miaka mitano iliyopita. Timu ya wafanyakazi, marafiki na wanafamilia

UN TANZANIA YAKUSANYA MAONI KUHUSU UTENDAJI WAKE NCHINI NDANI YA SABASABA, KARUME HALL

Image
Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akimwelekeza Mkurugenzi wa kampuni ya Events World, Dimo Debwe Mitiki, jinsi ya kuwasilisha maoni yake kuhusiana na kazi za Umoja wa Mataifa na nini angependa Umoja huo ufanye zaidi kwa ajili ya watanzania kwenye viwanja vya maonyesho ya 39 ya biashara ya kimataifa maarufu kama “Sabasaba”. (Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog ). Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akimwelekeza mmoja wa wananchi aliyetembelea la Umoja huo jinsi ya kuwasilisha maoni yake kuhusiana na kazi za Umoja wa Mataifa na nini angependa Umoja huo ufanye zaidi kwa ajili ya watanzania. Laurean Kiiza (kushoto) kutoka kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), akimsimia Meneja mwendeshaji wa mtandao wa habari wa Modewjiblog , Zainul Mzige kuwasilisha maoni (GeoPoll) yake moja kwa moja kwenye simu ya kiganjani, alipotembelea banda la Umoja wa Mataifa kwenye maonyesho ya sabasa

MBUNGE MBATIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR KIJIJINI KWAO KWAMARE JIMBONI VUNJO.

Image
Mbunge wa kuteuliwa,Mh James Mbatia akiwasili katika kijiji cha Kirua Vunjo Magharibi na kupokelewa na msaidizi wake Hamis Hamis kwa ajili ya zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kupitia BVR. Mbunge wa kuteuliwa ,Mh James Mbatia akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasil katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo Magharibi Jimbo la Vunjo kwa ajili ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. Mbunge James Mbatia akitoa maelezo yake kwa mmoja wa maofisa wa zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kupita mfumo wa BVR. Mbunge James Mbatia akichukuliwa alama za vidole wakati wa zoezi la uandikishaji katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo. Mh Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu. Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama. Afisa uandikisha akimkabidhi Mh Mbatia kitamburisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji. Mh Mb

WASHINDI WA TUZO ZA TANAPA 2014 WAKABIDHIWA TUZO JIJINI MWANZA

Image
Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ,Pascal Shelutete akitoa neno la ukaribisho katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi.Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Gorden Crest jijini Mwanza.   Baadhi ya wageni waalikwa katia hafla hiyo. Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini. Mkuwa wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza,Baraka Konisaga akizungumza kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Mwanza wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa Wanahabari waliofanya vizuri katika uandishi wa masuala ya Uhifadhi. Mgeni rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakai wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa washindi wa Tuzo zitolewazo na TANAPA kwa wanahabari. Mkuu wa Majaji walioshiriki kupatikana kwa washindi wa tuzo zitolewazo na TANAPA kwa wanahabari,Dkt Ayoub Ryoba aki