Posts

Showing posts from June, 2012

RAIS MPYA WA MUCSO ACHAGULIWA

Image
ANTHONY NDEWAWIO  Rais wa serikali ya wanafunzi MUCSO Amepata kura 947 Makamu wa rais ,Bi Cadisa Peter Baraka Mashaka  Amepata kura 736 Emanuel Philemon Kulwa Mang'ana Amepata kura 291 Carlos Kiria                                                  Wajumbe wa tume ya Uchaguzi kulia ni Dixon Busagaga na shoto kwake ni Joshua Mulungu wakifuatilia zoezi la utangazaji wa matokeo ya Rais. Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara MUCCoBS.. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zengo Polle akimkaribisha Anthony Ndewawio mara baada ya kumtangaza mshindi wa nafasi ya uraisi. Wanafunzi wakiwa katika foleni ya kupiga kura katika jengo la Pius Msekwa. Zoezi la Uchaguzi likindelea                           Mjumbe wa tume Bw Snguo akifanya utaratibu wa kuhakiki jina la mpiga kura. Mmoja wa wapiga kura akitimiza haki yake ya msingi ya kupata kiongozi wa serikali ya wananfunzi MUCSO