Posts

Showing posts from June, 2014

MTOTO WA MIAKA 9 ATAKA KUWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA NJIA NGUMU.

Image
Mzazi wa mtoto Idda Baitwa,Bw Respcius Baitwa akifanya maandalizi na mwanae ya kuanza safari  ya kuweka rekodi ya kupanda Mlima Kilimanjaro Mtoto Idda Baitwa akiwa na baba yake mzazi Bw Respcius Baitwa pamoja na ndugu zake wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya kuanza safari  ya kuweka rekodi ya kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akijiandikisha katika lango la Umbwe la kupanda mlima Kilimanjaro kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima huo.nyuma yake ni Bw Respicius Baitwa akshuhudia. Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa mtoto Idda Baitwa ikaanza. Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.   MTOTO wa miaka tisa(9) Idda Baitwa ameanza safari  ya kuweka rekodi ya kupanda Mlima Kilimanjaro akiwa na umri mdogo zaidi huku akitumia njia ya Umbwe ambayo inaaminika kuwa ngumu zaidi kwa watalii wakati wa kupanda mlima huo. Msichana huyo mwanafunzi wa darasa la nne, katika shule ya msingi Mnazi iliyoko Manispaa ya Moshi, mkoa

Tizama:VIDEO YA MBUNGE JOSHUA NASSARI AKIMUELEZEA MAMA YAKE MZAZI.

Image
Video imepigwa na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

Tizama:AFANDE STEVEN JOHN ZAMANI WALIMWITA BEBETO ALIVYOMEREMETA NA WIFE WAKE JIJINI DAR.

Image
Ndugu wa Maharusi watarajiwa wakiwa katika ukumbi wa Rombo Green View kushuhudia Send Off ya Mebo Malakasuka Bw Harusi mtarajiwa Afande Peter Steven John akiwa karibu na rafiki zake wakati wa Send Off  ya mkewe mtarajiwa Mebo Malakasuka. Bi Harusi mtarajiwa Mebo Malakasuka (shoto)akitabasamu kwa mbaaali wakati wa sherehe ya kumuaga(Send Off)iliyofanyika katika ukumbi wa Green View jijini Dar es salaam. Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Polisi Morogoro na timu ya Taifa,Thobias John akito pongezi kwa shemeji yake wakati wa Send off iliyofanyika katika ukumbi wa Rombo Green View. Bw Harusi mtarajiwa akiwaaga ndugu zake mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya Send Off ya mkewe mtarajiwa Mebo Malakasuka. Maharusi wakifurahia kuanza kwa historia mpya katika maisha yao. Ndugu wa karibu wa Bw Harusi Peter Steven John wakiwa katika picha ya pamoja. Bi Harusi mtarajiwa akasindikizwa kwenda kupumzika. Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini

Tizama:MASANJA MKANDAMIZAJI ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAALIKWA KATIKA HARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI.

Image
Video imepigwa  na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

TCRA YATOA SEMINA KWA MAOFISA WA POLISI MKOA WA KILIMANJARO.

Image
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP ,Robert Boaz akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja kwa maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA kushoto kwake ni Naibu Mkurugenzi wa kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini ,Victor Nkya. Naibu Mkurugenzi wa kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini ,Victor Nkya akizungumza wakati semina ya siku moja kwa maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro. Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA , Injinia Annette Matindi akizungumza wakati wa semina hizo Mkuu wa kikosi cha Upelelezi mkoa wa Kilimanjaro SSP ,Ramadhan Ng'anzi akizungumza katika semina hiyo. Baadhi ya washiriki katika semina hiyo ambao ni maofisa wa ngazi mbalimbali katika jeshi la polisi. Baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wakijitambulisha katika semina hiyo. Kamanada wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP Rober Boaz akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa

POLISI KILIMANJARO YABAINI MBINU MPYA YA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA .

Image
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA. Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akiwaonesha waandishi wa habari(hawako pichani)moja ya mikoba iliyotumika kufichia dawa za kulevya kwa ustadi mkubwa. Dawa za Kulevya ambazo hazijafahamika ni aina gani zikiwa katika mifuko maalumu. Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wakimsikiliza kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro wakati akitoa taarifa  juu ya kukamatwa kwa dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro KIA.                

POLISI KILIMANJARO YANASA BUNDUKI MBILI ,MOJA IKIWA IMEFUNGWA HIRIZI.

Image
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa bunduki mbili pamoja na mali kadhaa kufuatia operesheni tokomeza uhalifu inayoendeshwa na Jeshi la Polisi mkoani Hapo. Kamanda Boaz akiwaonesha waandishi wa habari, bunduki mbili, ya kulia ni Shotgun Greener, ambayo imekatwa kitako pamoja na nyingine aina ya shotgun (ya kushoto), namba za usajili 68022, ambazo zinaaminika zimekuwa zikitumika katika matukio kadhaa ya ujambazi mkoani humo. </ tr> Baadhi ya vito vya thamani vilivyokamatwa katika operesheni hiyo zikiwemo bunduki hizo mbili  Baadhi ya vito hivyo vikiwa vimetandazwa mezani katika makao makuu ya jeshi la polisi mkoani kilimanjaro Kamanda Boaz akiwaonesha waandishi wa habari, bunduki mbili, ya kulia ni Shotgun Greener, ambayo imekatwa kitako pamoja na nyingine aina ya shotgun (ya kushoto), namba za usajili 68022, ambazo zinaaminika zimekuwa zikitumika katika matukio ka