Posts

Showing posts from November, 2013

KAMA ULIKOSA PICHA ZA MAZISHI YA DK MVUNGI TIZAMA HAPA.

Image

AFYEKA UUME WAKE KUKWEPA USUMBUFU WA WANAWAKE.

Image
Na Mwandishi wetu. Kijana Ayubu Mnazi Alphonce(24)ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kujikata uume wake kwa kitu alichodai kuwa ni wembe mpya,sababu za kufanya hivyo Ayubu alieleza kuwa inatokana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao amekuwa ana uhusiano nao wa kimapenzi. MKASA KAMILI:Ayubu ambaye kwasasa amelazwa wadi namba moja katika hospitali hiyo,imeelezwa kuwa baada ya kutokea mfarakano baina yake na mwanamke mmoja ambaye jina halijafahamika aliamua kuingia ndani na kuukata uume wake kwa kutumia wembe mkali na baadae sehemu ya uume huo alikwenda kuutupa kwenye majani na kurudi chumbani kwake. Taarifa kutoka Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa baba  mzazi wa Ayubu baada ya kubaini mtoto wake kuwa amejifungia chumbani kwa muda mrefu akaamua kumgongea mlango na alipopata fursa ya kuingia ndani ndipo akagundua ukweli juu ya jambo hilo na hivyo kumpeleka Ayubu Kituo kikubwa cha Polisi Tabora

HUKUKUMU YA BABU SEYA NA MWANAE HII HAPA.

Image
 Na Mwandishi wetu Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi mwenye asili ya Congo Nguza Mbangu Viking  maarufu kama Babu Seya na mwanae Papii Kocha wamerejeshwa gerezani kutumikia kifungo cha maisha baada ya mahakama kuu kukazia hukumu hiyo. loading...... Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha' imewarejesha jela maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi. Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa