Posts

Showing posts from September, 2012

Mazishi ya mpiganaji Daudi Mwangosi

Image
  Rais wa UTPC Kenneth Simbaya akizungumza wakati wa shughuli za  mazishi ya Mwangosi.   Katibu mkuu wa Chadema Dk Wilbroad Silaa akizungmza mazishini.    Ibada ya mazishi ikiendelea .      Mjane wa marehemu Mwangosi      Mwili ukipelekwa malaloni.      Ibada.        Jeneza likishushwa kaburini.      Jeneza Kaburini   Udongo ukiwekwa kaburini                         Mjane akilia juu ya kaburi la marehemu mumewe                                  Watoto wa marehemu wakiweka mashada                                                 Dk Slaa akieka shada la maua.                                Rais wa UTPC Kenneth Simbaya akiweka maua.                            Ndugu na jamaa wakiweka maua katika kaburi la marehemu Mwangosi .

Mtandao wa kijamii "FUNGUKA"sasa inapatikana kwa upashanaji wa habari za aina zote.Karibuni tushirikiane.

Image