Posts

EFTA YACHOCHEA UCHUMI KWA HATI FUNGANI YA BILIONI 50

Image
  Mkurugenzi Mtendaji wa Equity For Tanzania Limited- EFTA Bwana Nicomed Bohay akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzindunzi wa Hati Fungani za EFTA tukio lilofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam katika Hotel ya Kilimanjaro Hyatt Regency.  Wageni mbalimbali, wakiwemo wadau wa sekta ya fedha, wawekezaji na wawakilishi wa taasisi za kifedha, wakifuatilia kwa makini tukio la uzinduzi wa EFTA Corporate Bond ya Shilingi bilioni 50, lililofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliashiria hatua mpya ya kuimarisha upatikanaji wa mtaji wa muda mrefu kwa sekta za uzalishaji nchini. Wajumbe wa jopo la majadiliano wakichangia mada wakati wa uzinduzi wa EFTA Corporate Bond ya Shilingi bilioni 50 jijini Dar es Salaam, wakijadili umuhimu wa mtaji wa muda mrefu katika kuimarisha sekta za uzalishaji na kukuza masoko ya mitaji nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Nicomed Bohay, akichangia mjadala wa jopo wakati wa uzinduzi wa Hati Fungani ya Sh bili...

JIKO LA UMEME LATULIZA NDOA KIJIJI CHA MAENDELEO MOSHI

Image
Afisa Uhusiano ,Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme (TANESCO) mkoa wa Kilimanjaro Bi Mwanaisha Mbita akikabidhji jiko la umeme kwa familia ya Mwalimu Mstaafu Rajabu Samweta ikiwa  ni sehemu ya uhamasishaji juu ya matumizi ya nishati nafuu kwa wananchi. Bi Debora Mwamponda (Mwanamke Shupavu) akitoa elimu juu ya matumizi ya nishati nafuu ya kupikia kwa kutumia umeme kwa mmoja wa nananchi wakijiji cha Maendeleo kilichopo Chekereni katika wilaya ya Moshi  Baadhi ya Wateja wa huduma ya umeme katika kijiji cha Muungano Chekereni kilichopo wilaya ya Moshi wakisiliza maelekezo kutoka kwa maafisa wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro ,Afisa Uhusiano ,Huduma kwa wateja Mwanaisha Mbita pamoja na Obadiah. Baadhi ya Wananchi katika kijiji cha Muungano ,Chekereni wilaya ya Moshi wakifuatilia maelezo ikiwa ni pamoja na kuwasilisaha changamoto zao kwa maafisa wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro . Afisa Uhusiano ,Hudumakwa wateja wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro akizungumza na wananchi katika eneo la Chek...
Image
Moja ya Majengo ya zamani katika Shule ya Wasichana ya Ashira iliyopo wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro ,miongoni mwa shule Kongwe zilizofanyiwa maboresho ya miundombinu ya Madarasa,Mabweni pamoja na Vyoo. Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ashira Zainabu Shushue akizungumzia maboresho yaliyofanywa na Serikali kupitia Mbunge wa Jimbo la Vunjo Dkt Charlwes Kimei katika shule hiyo  kongwe . Dada Mkuu katika Shule ya Wasichana ya Ashira ,Prisca Baraka (Mwenye miwani) akizungumzia maboiresho yaliyofanyika shuleni hapo . Muonekano wa baadhi ya Majengo ya Madarasa na Mabweni yaliyojengwa katika Shule ya Wasichana ya Ashira iliyopo wilaya ya Moshi mkoani Kilimannjaro  Na huu ndio muonekano wa sasa wa Vyoo vilivyojengwa katika shule ya Wasichana ya Ashira iliyopo Marangu wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro . Bwalo ambalo kwa sasa ujenzi wake unaendelea katika shule hiyo . Ashira Girls Sekondari: Kutoka Foleni za Vyoo Hadi Darasa la Kisasa   – Miundombinu Mpya Yafungua F...

MBUNGE MALEKO AGAWA INCUBATOR KWA WANAWAKE KILIMANJARO .

Image
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Esther Maleko akizungumza wakati wa kukabidhi Mashine za kutotoleshea vifaranga kwa wanawake wa kata 169 za mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya ahadi yake aliyoitoa mwaka 2020 wakati akiomba  ridhaa . Baadhi ya wanawake wakimsikiliza Mbunge Esther Maleko katika Warsha iliyoenda sambamba na utoaji wa mashine za kutotoleshea vifaranga ,warsha iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro  Mbunge Esther Maleko wakifurahia muziki na wanawake waliofika kwa ajili ya kupatiwa mashine maalum kwa ajili ya kutotolesha vifaranga zilizotolewa na mbunge huyo kwa wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro . Mbunge Esther Maleko akikabidhi mashine maalum kwa ajili ya kutotolesha vifaranga kwa viongozi wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi wilaya za Moshi vijijini na Moshi mjini na kushuhudiwa na katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Merce Mollel .  Anaadika Dixon Hussein - Kilimanjaro  Katika hatua ya kuimaris...

WANAWAKE WA WORLD VEGETABLE CENTER WAWALETEA ELIMU YA KILIMO WATOTO WA MATONYOK

Image
Wanafunzi na Watoto wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto wanaotoka kwenye mazingira hatarishi wakiwa katika eneo la bustani kwa ajili ya kupata elimu juu ya kilimo cha Mboga kutoka kwa Wanawake watafiti kutoka taasisi ya kimataifa ya utafiti wa Mboga Duniani "World Vegetable Center ya jijini Arusha ambao waliwatembelea watoto hao . Mtafiti  Bi. Inviolate Mosha kutoka taasisi ya kimataifa ya utafiti wa Mboga Dunia " World Vegetable Center",akiwafundisha watoto katika kituo cha kulea watoto cha Motonyoki kilichopo Olasiti jijini Arusha namna ya kuotesha mboga . Mtafiti  Bi. Inviolate Mosha kutoka taasisi ya kimataifa ya utafiti wa Mboga Dunia " World Vegetable Center",akiwafundisha watoto katika kituo cha kulea watoto cha Motonyoki kilichopo Olasiti jijini Arusha namna ya kuotesha mboga ,zoezi hilo likishuhudiwa na Mkurugenzi wa taasisi hiyo Colleta Ndungulu (wa pili kutoka kulia) walioshika majembe. Sehemu ya timu kutoka  taasisi ya kimataifa ya utafiti wa ...