Posts

Showing posts from August, 2014

MOSHI CLUB WALIVYOIBUKA MABINGWA KATIKA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA.

Image
Mbwiga akijaribu kufanya mambo ya kiufundi uwanjani. Mbwiga akiongoza timu ya Kitambi noma kupiga jaramba kabla a mchezo wao dhidi ya Mandela Bar. Kikosi cha timu ya Qx Pub kilikuwa kimesheheni wachezaji nguli akiwemo Shaffih Dauda. Mbwiga akijaribu kumtoka mchezaji wa tiu ya Oysterbay. Mchezaji Shaffih Dauda akijaribu kuweka mpira katika himaya yake. Mbwiga akijiandaa kutoa pasi ya mwisho. Shaffih akijaribu kufunga kwa kupiga mpira "Kizungu"hapa . Mbwiga akiwafunga watu tela. Moja kati ya faulo hatari ikipigwa na Shaffih, kama sio umakini wa walinzi wa Oyster Bay  ali manusura izae goli  Mzaramo injini ikachemsha ,benchi la ufundi likaamua kumpumzisha. Kama kawaida alivyo "Unga wa Ngano"kupika kila aina ya vitafunio ,Mbwiga akaingia kwenye kutangaza mechi hiyo. Ghafla akaachana na shughuli ya kutangaza mechi akageuka Mmachinga akaanza kuuza T-shirt. Ikafika mapumziko timu zote zikiwa zimetoshana nguvu ya