Posts

Showing posts from March, 2018

MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MOCU) PROF ,FAUSTINE BEE AZINDUA NA KUONGOZA WATUMISHI WENZAKE WA CHUO HICHO KATIKA ZOEZI LA UPIMAJI WA HOMA YA INI.

Image
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mosi (MoCU) Prof ,Faustine Bee akizungumza wakati wa uzinduzi wa Upimaji wa Homa ya Ini kwa Watumishi wa Chuo hicho pamoja na Wategemezi wao, zoezi ambalo linafanyika katika kituo cha Afya kilichopo chuoni hapo .  Baadhi ya Wauguzi wanaohudumu katika kituo hicho fcha Afya pamoja na Watumishi wa Chuo hicho wakifuatilia hotupa ya Uzinduzi wa zoezi la Upimaji wa Homa ya Ini iliyotolewa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika ,Moshi (MoCU) Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Chuo Kikuu cha Ushirika ,Moshi (MoCU) ,Eustace Ng'weshemi akizungumza wakati wa uzinduzi wa zoezi la upimaji wa Homa ya Ini katika Chuo Kikuu cha Ushirika ,Moshi . Baadhi ya Watumishi wa Chuo Kikuu cha Ushirika ,Moshi ,wakiwa katika uzinduzi huo. Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Chuo Kikuu cha Ushirika ,Moshi (MoCU) Dkt , Eustace Ngw'eshemi akimuonesha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika ,Moshi ,Prof  Faustine Bee namba ya siri itakayotumik

MAWAKALA WA TIGO PESA NCHI NZIMA WAENDELEA KUJISHINDIA ZAWADI

Image
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Tigo ,Kanda ya Kaskazin,Henry Kinabo akimkabidhi wakala wa Tigo Moshi mjini ,Hassan ,mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni Mbili kwa kuibuka mshindi wa pili wa Promosheni ya Mawakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini. Promosheni hii inawahusu Mawakala zaidi ya 73000 wa Tigo Pesa nchi nzima huku zawadi za Shilingi za kitanzania Milioni 144 zikishindaniwa.  Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Tigo ,Kanda ya Kaskazin,Henry Kinabo akimkabidhi wakala wa Tigo wilaya ya Same Real Stationary ,mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni tatu  kwa kuibuka mshindi wa kwanza wa Promosheni ya Mawakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini. Promosheni hii inawahusu Mawakala zaidi ya 73000 wa Tigo Pesa nchi nzima huku zawadi za Shilingi za kitanzania Milioni 144  zikishindaniwa.  Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa, Gwamaka Mwakilembe (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni ,mbili kwa Juliana Shilatu aliyeibuka kam

BENKI YA CRDB YAJITOSA KUKISAIDIA CHAMA CHA MAAFISA HABARI,MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI (TAGCO).

Image
Meneja Uhusiao wa Benki ya CRDB,Godwin Semunyu akizungumza mara baada ya kuwasilisha mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Chama cha Maafisa Habari ,Mawasiliano na Uhusiano Serikalini uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa (AICC) jijini Arusha. Meneja Uhusiao wa Benki ya CRDB,Godwin Semunyu akiwasilisha mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Chama cha Maafisa Habari ,Mawasiliano na Uhusiano Serikalini uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa (AICC) jijini Arusha. Washiriki wa Mkutano Mkuu wa 14  wa Chama cha Maafisa Habari ,Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB ,Godwin Semunyu wakati wa mkutano huo. kutoka kulia ni Mwenyekiti wa TAGCO,Pascal Shelutete,Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Laurean Bwanakunu na mwisho kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari ,Sanaa,Utamadunina Michezo,Susan Mlawa.  Baadhi ya Washiriki wa Mkutano huo.   Meneja Uhusiao wa Benki ya CRDB,Godwin Sem

JAFO AGIZA MAAFISA HABARI SERIKALINI KUINGIA KWENYE VIKAO VYA MAAMUZI

Image
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais ,Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akizungumza wakati wa kufunga Kikao kazi cha 14 cha Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichofanika kwa siku tano katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa (AICC) jijini Arusha. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Sanaa ,Utamaduni na Michezo ,Susan Mlawi akizungumza wakati wa ufungaji wa Kikao Kazi cha Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusiano Serikali kilichofanyika jijini Arusha. Waziri Jafo akiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari ,Maelezo ,Dkt Hassan Abbas pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (TAGCO) Pascal Shelutete wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Habari ,Sanaa,Utamaduni na Michezo ,Susan Mlawa (hayupo pichani) . Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (TAGCO) Pascal Shelutete akizungumza wakati wa kuhitimisha siku tano za Kikao kazi cha maafisa hao kilichofanyika jijini Arusha. Waziri wa Nch

MAAFISA HABARI,MAWASILIANO NA UHUSIANO SERIKALINI WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA TARANGIRE

Image
Lango Kuu la Kuingia Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iliyopo mkoani Manyara . Mkuu wa Idara ya Utalii,Mhifadhi Theodora Aloyce akitoa maelezo kwa Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusino Serikalini walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iliyopo mkoani Manyara kwa lengo la kutangaza Utalii wa ndani. Baadhi ya Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakiwa katika gari wakati wa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire kujionea vivutio mbalimbali vilivyoko katika Hifadhi hiyo wakiwemo Wanyama mbalimbali. Miti Mikubwa ya Mibuyu ni sehemu ya Vivutio vilivyoko katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire. Digi Digi ni mmoja kati ya Wanyama wanaopatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ambaye Maafisa Habari wa Taasisi za Serikali walipata fursa kumuona. Mnyama Simba akiwa katika muinuko ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ili kumrahisishia kuweza kuona maeneo ya mbali. Twiga ni miongoni mwa wanyama ambao pia walionekana kwa uzuri zaidi katika Hifadh