Posts

Showing posts from August, 2015

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI ,JAFARY MICHAEL AZINDUA KAMPENI ZAKE MOSHI MJINI.

Image
Red Brigade akiimarisha ulinzi katika iwanja ya Dkt Slaa mjini Moshi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael kupitia Chadema na Ukawa uliofanyika jana. Baadhi ya viongozi na wagombea wa nafasi za Udiwani Kupitia Chadema na Ukawa. Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Philemoni Ndesamburo(kushoto) akiteta jambo na  mgombea Ubunge katika jimbo hilo ,Jafary Michael kupitia Chadema na UKAWA wakati wa uzinduzi wa kampeni mjini Moshi Umati wa wakazi wa mji wa Moshi waliofika katika mkutano huo wa Uzinduzi wa Kampeni. Mbunge wa Vitimaalumu Chadema ,Lucy Owenya akizungumza katika mkutano huo. Meneja wa kampeni wa mgombea ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Raymond Mboya akisalimia katika mkutano huo. Katibu wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro,Basil Lema akitoa salamu za chama katika mkutano huo. Umati wa wakazi wa Moshi katika mkutano huo. Mbunge wa jimbo la Moshi mjini a

HELKOPTA YA NYALANDU YANOGESHA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA CCM

Image
Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwa jukwaani akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. Mjumbe wa Kamati ya Kampeni Taifa, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la Iramba Magharibi akizungumza na wananchi kuinadi ilani ya CCM. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Jimbo la Iramba Magharibi. Mbunge Nkenge CCM aliyemaliza muda wake, Asumpta Mshana akiinadi ilaya ya CCM Helkopta ya mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini ikitua. Mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu akiwarudisha baadhi ya wananchi kurudi eneo la Mkutano wa kampeni na kuacha kushangaa helkopta. Mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu akielekea eneo la mkutano pamoja na baadhi ya wananchi baada ya kutua na helkopta. Helkopta iliyomshusha gombea ubunge wa Jim