Posts

Showing posts from April, 2018

SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA (TANAPA) LAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 50 KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU MKOANI SIMIYU .

Image
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akitoa neno la utangulizi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya Hundi kwa ajili ya kuendeleza sekta ya elimu katika mkoa wa Simiyu. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya Hundi kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu katika mkoa wa Simiyu.kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw Festo Kiswaga . Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa( TANAPA) Allan Kjazi akikabidhi Hundi ya Kiasi cha Sh Mil 50 kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu katika mkoa huo ,wengine kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Tanapa,Pascal Shelutete na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Bariadi ,Bw Festo  Kiswaga . Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ,Anthony Mtaka akiteta jambo na Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za TAifa (TANAPA) Pascal Shelutete mara baada ya kumalizika kwa

BENKI YA CBA YAKUTANA NA WATEJA WAKE JIJINI ARUSHA

Image
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya  Commerial Bank of Africa   (CBA) Tanzania, Gift Shoko akizungumza na wadau wa benki hiyo katika hafla fupi ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyo katika hoteli ya Mt. Meru jijini Arusha,   huku akiwajulisha hatua mbalimbali za kibenki  zilizoboreshwa kwa wateja wao (Habari picha na Pamela Mollel Arusha) Wadau wa benki ya  Commerial Bank of Africa,CBA wakiwa katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Arusha kwa lengo  la kuwajulisha hatua mbalimbali walizozifikia huku wateja wao wakipata wasaa wa kueleza changamoto zinazowakabili. Mkurugenzi Mkuu Mendaji wa Be Gift Shoko kushoto akizungumza na mmoja wa wadau wa benki hiyo jijini Arusha  Mkuu wa Idara ya Masoko wa benki ya CBA, Julius Konyani akizungumza katika hafla ya chakula cha jioni na wadau wa benki hiyo jijini Arusha kwa lengo la kuwajulisha hatua mbalimbali walizozifikia huku wateja wao wakipata wasaa wa kueleza changamoto zinazowakabili.

COCA-COLA BONITE YAMWAGA ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'MZUKA WA SOKA NA COKA'

Image
 Mmoja wa washindi wa pokipiki akikabidhiwa zawadi yake.  Baadhi ya washindi wa luninga katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa zawadi zao Washindi wa pikipiki wakijaribu kuendesha pikipiki zao baada ya kukabidhiwa wakiwa na Meneja Mauzo wa Bonite, Boniface Mwassi. Wshindi wa fedha taslimu shilingi 100,000/-baada ya kukaidhiwa zawadi zao na Afisa Mwandamizi wa Mauzo wa Bonite, Godfrey Imani.

HUDUMA YA UOKOAJI KWA KUTUMIA HELIKOPTA YAANZISHWA MLIMA KILIMANJARO.

Image
M oja ya ndege aina ya Helkopta ilipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya utoaji wa Huduma ya Utafutaji na uokoaji kwa wapanda Milima Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kilimanjaro SAR ya mkoani Kilimanjaro Ivan Broun akionekana mwenye tabasamu mara baada ya moja ya ndege aina ya Helkopta kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya utoaji wa Huduma ya Utafutaji na uokoaji kwa wapanda Milima. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini . KAMPUNI ya Kilimanjaro SAR ya mkoani Kilimanjaro imeanza rasmi shughuli za utafutaji na uokoaji kwa wapandaji wa Milima miwili ya Kilimanjaro na Meru kwa kutumia ndege aina ya Helkopta. Kilimanjaro SAR inakua kampuni ya kwanza kuweka historia katika bara la Afrika ya utoaji wa huduma hiyo   muhimu na maada kwa maisha ya wapandaji wa Milima ikizingatiwa asilimia 75 ya magonjwa uwapo mlimani yanatokana na mbadiliko ya Hali ya Hewa kulingana na urefu w