Posts

Showing posts from December, 2012

WANAHABARI KILIMANJARO WAPATIWA MAFUNZO YA ONLINE JOURNALISM.

Image
  Mkufunzi katika mafunzo ya uandishi wa habari wa njia ya mtandao,Bw. Lukelo Mkami akitoa maelezo kwa washiriki wa warsha hiyo inayoendelea katika ukumbi wa KNCU.     Moshi   WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuhakikisha wanongeza elimu juu ya mabadiliko ya teknolojia ili kuboresha kazi zao za uandishi ziendane na mabadiliko hayo yanayokuwa kila wakati.     Hayo yameelezwa na mwezeshaji wa mafunzo ya uandishi wa habari kwa njia ya mtandao Bw. Lukelo Mkami yaliyoandaliwa na Muungano wa klabu za waandishi wa habri nchini(UTPC) na kuratibiwa na klabu ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro(MECKI). Alisema mabadiliko ya teknolijia yanawalazimisha waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla kujifunza kila wakati ili kuendana nayo badala ya kuendelea kutumia mifumo iliyopitwa na wakati.   Mwezeshaji huyo alisema mabadiliko yakitumika vyema yanaweza kubadili mifumo ya maisha ya watanzania kutoka kwenye umaskini kwani hutoa elimu, huon