 |
ANTHONY NDEWAWIO
Rais wa serikali ya wanafunzi MUCSOAmepata kura 947
Makamu wa rais ,Bi Cadisa Peter |
 |
Baraka Mashaka Amepata kura 736 |
 |
Emanuel Philemon |
 |
Kulwa Mang'anaAmepata kura 291 |
 |
Carlos Kiria |
Wajumbe wa tume ya Uchaguzi kulia ni Dixon Busagaga na shoto kwake ni Joshua Mulungu wakifuatilia zoezi la utangazaji wa matokeo ya Rais.
 |
Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha ushirika na biashara MUCCoBS.. |
 |
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zengo Polle akimkaribisha Anthony Ndewawio mara baada ya kumtangaza mshindi wa nafasi ya uraisi. |
 |
Wanafunzi wakiwa katika foleni ya kupiga kura katika jengo la Pius Msekwa. |
.JPG) |
Zoezi la Uchaguzi likindelea |
Mjumbe wa tume Bw Snguo akifanya utaratibu wa kuhakiki jina la mpiga kura.
 |
Mmoja wa wapiga kura akitimiza haki yake ya msingi ya kupata kiongozi wa serikali ya wananfunzi MUCSO |
Comments
Post a Comment