MAANDALIZI KILIMANJARO MARATHONI HAYA HAPA.
| Mabango mbalimbali ya wadhamini wa mbio za Kimatafa za Kilimanjaro marathoni tayari yameanza kuupamba mji wa Moshi. |
| Mkurugenzi wa mbio za Kilimanjaro marathoni 2014, John Bayo akizungumzia njia mpya ambazo wakimbiaji watazitumia mwaka huu. |
| Ramani ya njia itakayotumika kwa wakimbiaji wa mbio za kujifurahisha za Vodacom fun run. |
| Ramani ya njia itakayotumika kwa wakimbiaji wa mbio za Full marathon,half marathoni pamoja na mbio za walemavu. |
Comments
Post a Comment