Tizama.MAELFU WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KILIMANJARO MARATHONI 2014.
| Katika banda la Vodacom shughuli za uandikishaji kwa wakimbiaji wa mbio za Km 5 Fun Run zikienndelea. |
| Kampuni ya GAPCO pia wapo kuhakikisha mbio za walemavu zinafana mwaka huu |
| Kwa wale wanaokimbia wakitizama muda hawa jamaa pia wamepiga kambi Keys Hotel. |
| Upande wa wadhamini wakuu mbio hizo Kilimanjaro Premium Lager shughuli za uandikishaji ziliendelea. |
| Shirika linalopambana na masuala ya Ukeketaji NAFGEM pia wanahkikisha watoto wa jamii ya kimaasai wanashiriki mbio hizo. |
| Mazingira ya mji wa Moshi tayari yamebadilika ikiwa ni shamrashamra ya mbio hizo. |
Comments
Post a Comment