SAFARI LAGER NYAMA CHOMA ,BAA YA MAKANYAGA YAIBUKA KIDEDEA





Mwakilishi wa Baa ya Makanyaga, Rogarth Frimini Massawe (aliyeshika kombe) katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Bia ya safari lager akiwemo Meneja wa Bia hiyo, Oscar Shelukindo (wa tatu kushoto waliosimama), baada ya kutawazwa mabingwa wapya wa Moshi katika shindano la safari lager nyama choma 2014.
Mchoma nyama mkuu wa Baa ya Makanyaga akishangilia ubingwa wake katika shindano la mwaka huu la Safari Lager Nyama choma 2014.
</ tr>
Mkuu wa Magereza mkoani Kilimanjaro (RPO), ACP Hamis Nkubasi, akimkabidhi Mchoma nyama mkuu wa baa ya Makanyaga, Rogarth Frimini.
Mwakilishi wa Baa ya Forest, Thadeus Mushi (kushoto)akishangiliana mfanyakazi mwenzake baada ya kuibuka mshindi wa pili katika shindano la mwaka huu la Safari Lager nyama choma 2014, mjini Moshi.
Mwakilishi wa Baa ya Forest, Thadeus Mushi (katikati) akipokea fedha taslim shilingi laki nane kutoka kwa Mkuu wa magereza mkoani Kilimanjaro (RPO), ACP Hamis Nkubasi, wanaoshuhudia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kushoto) na baadhi ya wawakilishi Safari Lager.

Comments

Popular posts from this blog

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO