WATOTO WA FAMILIA MOJA WATEKETEA KINYAMA KWA MOTO TABORA MJINI.

amanda wa Polisi wilaya ya Tabora  OCD  Samwel Mwampashe akizungumza na wananchi wakati wa tukio hilo la kusikitisha lililotokea na kupoteza maisha ya watoto hao.
Chumba ambacho watoto hao walipokuwa wamelala na kuteketea kwa moto ambao chanzo chake inadhaniwa kuwa ni hitilafu za umeme.
Miili ya watoto wawili wa familia moja Daniel Paul(8)na mdogo wake Emmanuel Paul(3) ambao wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuteketea kwa moto huku wakiwa wamelala ndani majira ya saa moja asubuhi huko eneo la mtaa wa Rufita Mwanzaroad Tabora mjini.
Katikati alijishika kichwani ni Paul Daniel ambaye baba wa watoto hao walipoteza maisha akiangalia maiti za watoto wake hao wawili muda mfupi mara baada ya kufika eneo la tukio ambapo maswali mengi yalizuka baba huyo alikuwa wapi wakati watoto wanateketea kwa moto ndani ya nyumba.
Baadhi ya wananchi wakichungulia dirishani wakiangalia namna watoto walivyoteketea kwa moto
Majonzi makubwa kuhusiana na kifo cha watoto hao ambao walikuwa wamelala peke yao ndani
Mkuu wa wilaya ya Tabora Bw.Suleiman Kumchaya alifika eneo la tukio mapema wakati Kikosi cha Zimamoto kikimalizia uzimaji wa moto na kuwatoa watoto hao ambao tayari walikuwa wamekwisha kufa.
Huyu mama na mtoto walisalimika  katika tukio hilo la moto ambao walikuwa kwenye vyumba vingine
aadhi ya Samani ziliteketea vibaya kwa moto huo.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO