BASI LA AM LAGONGA MWENDESHA BAISKELI ARUSHA.

Mwendesha baiskeli akiwa amelala huku akiwa ameumia vibaya baada ya kugongwa na Basi la AM.


Basi la AM linaloanya safari zake katika ya mikoa ya Arusha,Singida na Mwanza limemgonga mwendesha baiskeli ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja.

Tukio hilo limetokea asubuhi ya leo katika eneo la Majengo jijini Arusha likihusisha basi hilo lenye namba za usajili T 588 AUT ambapo mwendesha Baiskeri huyo ameumia vibaya.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA.

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, ENG. RAMO MAKANI AZINDUA MIRADI YA TANAPA CHAMWINO, DODOMA, AELEZA MIPANGO YA SERIKALI YA KUKABILIANA NA TATIZO LA WANYAMAPORI WANAOVAMIA MAKAZI YA WATU