TIZAMA MATUKIO MBALIMBALI YA MCHEZO WA YANGA NA PANONE FC YA KILIMANJARO KABLA YA KUANZA.

Mgeni rasmi katika pambano hilo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na viongozi wa Yanga mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Baadhi ya viongozi wa Yanga walimkumbuka Gama wakati huo akiwa mkuu wa wilaya ya Ilala ambako katika kipindi chake Yanga ilichukua Ubingwa.
Mashabiki wa soka wakiwa wamefurika katika uwanja wa Ushirika.
Baadhi ya viongozi wa Yanga na Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro wakiteta jambo.
Mama Yanga pia alikuwepo sanjari na mashabiki wengine wa Yanga.
Mashabiki pekee wa timu ya Panone pia walikuwa uwanjani hapo.
Panone fc wakipasha misuli moto.
Yanga wakipasha misuli moto.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Dk Hamisi Kigwangala aongoza Matembezi ya " KUTOA AHADI YA UWIANO SAWA WA KIJINSIA "

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WASUSIA KIKAO CHA BAJETI WAKIMTUHUMU MKURUGENZI KUWA ANAPORA VIWANJA VYA HALMASHAURI HIYO.