Tizama:AJALI YA BASI LA AM ILIYOSABABISHA KIFO CHA MTOTO MKOANI TABORA.

Baadhi ya wananchi katika eneo la Ipuli mkoani Tabora wakishuhudia basi la Am lililopata ajali wakati likiingia mkoani humo likitokea Mwanza.
Watoa huduma ya kwanza walifika eneo la tukio ili kuhakikisha wanasaidia majeruhi wa ajali hiyo.
Askari Polisi wakisaidiana kubeba mwili wa mtoto aliyegongwa na basi la kampuni ya A.M maeneo ya Ipuli Mnadani ambalo lilikuwa likitokea jijini Mwanza,katika ajali hiyo watu kadhaa wamejeruhiwa.
Wananchi wakishuhudia mwili wa mtoto aliyegongwa na basi hilo ambapo walishauri Serikali iliifungie kampuni hiyo ya A.M kuleta mabasi mkoani Tabora ambayo walidai kuwa ni mabovu na yanausalama mdogo kwa wasafiri.
Sehemu ya maungio ya Stearing na kiongoza magurudumu ikionekana kama haikuwa salama sana hasa kwa basi kubwa kama hili.

Comments

Popular posts from this blog

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO