MTOTO NASRA ALIYEKUWA AKIISHI KWENYE BOX AFARIKI DUNIA HOSPTALI YA MUHIMBILI.


MTOTO Nasra aliyekuwa akiishi kwenye.box kwa miaka.minne akidaiwa kuteswa na mamake mkubwa baada ya mama yake kufariki,huku akikosa uangalizi wa karibu,chakula,tiba na huduma.nyingine muhimu AFARIKI DUNIA MUHIMBILI usiku wa kuamkia leo.majira ya saa saba.tatizo ni Nimonia na homa ilipanda sana.
R.I.P NASRA wewe mbele.sisi nyuma tutakufuata.Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi

Comments

Popular posts from this blog

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO