Tizama:AFANDE STEVEN JOHN ZAMANI WALIMWITA BEBETO ALIVYOMEREMETA NA WIFE WAKE JIJINI DAR.

Ndugu wa Maharusi watarajiwa wakiwa katika ukumbi wa Rombo Green View kushuhudia Send Off ya Mebo Malakasuka
Bw Harusi mtarajiwa Afande Peter Steven John akiwa karibu na rafiki zake wakati wa Send Off  ya mkewe mtarajiwa Mebo Malakasuka.
Bi Harusi mtarajiwa Mebo Malakasuka (shoto)akitabasamu kwa mbaaali wakati wa sherehe ya kumuaga(Send Off)iliyofanyika katika ukumbi wa Green View jijini Dar es salaam.
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Polisi Morogoro na timu ya Taifa,Thobias John akito pongezi kwa shemeji yake wakati wa Send off iliyofanyika katika ukumbi wa Rombo Green View.
Bw Harusi mtarajiwa akiwaaga ndugu zake mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya Send Off ya mkewe mtarajiwa Mebo Malakasuka.
Maharusi wakifurahia kuanza kwa historia mpya katika maisha yao.
Ndugu wa karibu wa Bw Harusi Peter Steven John wakiwa katika picha ya pamoja.
Bi Harusi mtarajiwa akasindikizwa kwenda kupumzika.
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini aliyeko jijini Dar es salaam.

Comments

Popular posts from this blog

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO