MBUNGE JOSHUA NASSARI AONGEA NA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza jambo na rais wa Marekani Barack Obama alipokuwa akiingia ukumbini kwa ajili ya mkutano wake na kundi la Viongozi vijana toka nchi mbalimbali barani Afrika walioko nchini Marekani kwa ajili ya mafunzo.
Rais Obama akisalimiana na viongozi vijna toka nchi mbalimbali barani afrika aliokutana nao baada ya kuhitimu mafunzo ya wiki tisa yaliyokuwa yakiendelea nchini humo.

Comments

Popular posts from this blog

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA.

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, ENG. RAMO MAKANI AZINDUA MIRADI YA TANAPA CHAMWINO, DODOMA, AELEZA MIPANGO YA SERIKALI YA KUKABILIANA NA TATIZO LA WANYAMAPORI WANAOVAMIA MAKAZI YA WATU