MOSHI CLUB WALIVYOIBUKA MABINGWA KATIKA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA.
| Mbwiga akijaribu kufanya mambo ya kiufundi uwanjani. |
| Mbwiga akiongoza timu ya Kitambi noma kupiga jaramba kabla a mchezo wao dhidi ya Mandela Bar. |
| Kikosi cha timu ya Qx Pub kilikuwa kimesheheni wachezaji nguli akiwemo Shaffih Dauda. |
| Mbwiga akijaribu kumtoka mchezaji wa tiu ya Oysterbay. |
| Mchezaji Shaffih Dauda akijaribu kuweka mpira katika himaya yake. |
| Mbwiga akijiandaa kutoa pasi ya mwisho. |
| Shaffih akijaribu kufunga kwa kupiga mpira "Kizungu"hapa . |
| Mbwiga akiwafunga watu tela. |
| Moja kati ya faulo hatari ikipigwa na Shaffih, kama sio umakini wa walinzi wa Oyster Bay ali manusura izae goli |
| Mzaramo injini ikachemsha ,benchi la ufundi likaamua kumpumzisha. |
| Kama kawaida alivyo "Unga wa Ngano"kupika kila aina ya vitafunio ,Mbwiga akaingia kwenye kutangaza mechi hiyo. |
| Ghafla akaachana na shughuli ya kutangaza mechi akageuka Mmachinga akaanza kuuza T-shirt. |
| Ikafika mapumziko timu zote zikiwa zimetoshana nguvu ya bila kufungana. |
| Baada ya Injini kupoa Mbiwga tena akaomba kuingia. |
| Watu wa huduma ya kwanza walikuwa makini kuhakikisha kila aliyepata tatizo anahudumiwa mara moja. |
| Kikosi cha Mandela Bar kikiwa mapumziko huku kikifanya maandalizi ya mchezo wa fainali dhidi ya Moshi club. |
| Kikosi cha Moshi club wakijaribu kubadilishana mawazo. |
| Clouds fm radio walikuwa live uwanjani hapo. |
| Kikosi cha Mandela Bar kilichocheza fainali |
| Kikosi cha Moshi Club kilichocheza fainali. |
| Mpira mwingi sana ulipigwa kati ya timu hizi mbili ambazo zilikuwa mahasimu. |
| Wadau mbalimbali walikuwepo uwanjani hapo kufuatilia Bonanza hilo. |
| Mechi ilipigwa hadi kufikia hatua ya matuta. |
| Mchezaji Mtanange wa Moshi Club ndiye aliyepiga penati ya mwisho iliyoipatia ubingwa wa bonanza hilo klabu yake ya Moshi . |
| Viongozi wa Moshi Club wakiwa wamembeba juu juu Mtanange. |
| Wachezaji wa Moshi club wakashangilia kwa style za aina tofauti tofauti ikiwemo ile ye Kidiaba. |
| Baadaye utaratibu wa kutangaza washindi ukafanyika ,hapa ni Shaffih Dauda na Dixon Busagaga wahusika katika maandalizi ya Bonanza hilo. |
| Zawadi za kreti tano za bia zikatolewa kwa mshindi wa Pili timu ya Mandela Bar. |
| Washindi Klabu ya Moshi wao pia wakapata zawadi yao ya kreti 10 za bia. |
Comments
Post a Comment