MKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AKUTANA NA WANA UMOJA WA MAFUNDI MAGARI TEGETA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI DHIDI YA MWEKEZAJI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akiwa na Viongozi wa Umoja wa Mafundi Magari Tegeta wakati akikagua eneo lenye mgogoro wa ardhi kati ya wanaumoja huo pamoja na mwekezaji alipokwenda kuwasikiliza kuhusu mgogoro huo Dar es Salaam jana.
DC Paul Makonda akiwahutubia wana umoja huo.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akiwa na viongozi wa umoja huo
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Nationi Ndela akitoa historia ya mgogoro huo mbele ya DC Makonda.
Baadhi ya mafundi magari katika gereji za Tegeta wakimsikiliza DC Makonda wakati akiwahutubia ili kupata muafaka wa mgogoro huo
Baadhi ya gereji zilizopo katika eneo hilo la mgogoro.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (katikati), akijaribu moja ya mashine ya kuchonga vyuma iliyopo katika eneo hilo.
Baadhi ya mafundi na wamiliki wa gereji mbalimbali katika eneo hilo la mgogoro wakimsikiliza DC Makonda.
Wanaumoja hao wakiwa kwenye mkutano huo
Hapa DC Paul Makonda akizungumza na wananchi wa Bunju B Kitunda ambao nao wanamgogoro na mwekezaji katika eneo hilo.

Comments

Popular posts from this blog

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO