MBUNGE JOSHUA NASSAR AONGEZA NGUVU KATIKA MIKUTANO YA CHADEMA NYANDA ZA JUU KUSINI.

Naibu Katibu mkuu Zanzibar wa chamacha Demokrasia na Maendeleo (Chdema) Salum Mwalimu akiwa na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar katika mkutano uliofanyika katika mji wa Makambako. 
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo.
Salum Mwalimu akisalimia mamia ya wananchi waliofika katika mkutao huo.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akielekea jukwaani kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Makambako.
Salum Mwalimu akimkaribisha jukwaani Joshua Nassar kuwahutubia wananchi.
Joshua Nassar akizungumza na wakazi wa Makambako wakati wa mkutano wa hadhara inayoendelea nyanda za juu Kusini.

Comments

Popular posts from this blog

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA.

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, ENG. RAMO MAKANI AZINDUA MIRADI YA TANAPA CHAMWINO, DODOMA, AELEZA MIPANGO YA SERIKALI YA KUKABILIANA NA TATIZO LA WANYAMAPORI WANAOVAMIA MAKAZI YA WATU