Posts

Showing posts from September, 2015

UBA’S ODUOZA WINS CEO OF THE YEAR AWARD AT INVESTMENT SUMMIT IN NEW YORK

Image
Group Managing Director and CEO, UBA Plc, Mr. Phillips Oduoza. Group Managing Director and CEO, UBA Plc, Mr. Phillips Oduoza has emerged the 2015 Ai Socially Responsible Investment (SRI) 30 CEO of the year at this year's 8th annual Ai CEO Investment Summit. This is the second time he is winning the award after winning it first in 2013. He was named the winner from a long shortlist that included Nassef Sawiris, CEO, Orascom Construction Company, Sifiso Dabengwa, CEO, MTN Group, SA, Guillaume Roux, CEO, Lafarge Africa, Segun Agbaje, CEO, GT Bank, Graham Clark, GMD, Dangote Sugar and Ben Kruger/Sim Tshabalala, Co-CEOs, Standard Bank. The event took place in New York at the sidelines of the UN General Assembly. Africa investor (Ai), is a leading international investment and communications group based in South Africa. Every year it organises the institutional investment summit as a platform for public and private sector leaders in Africa to dialogue with global counterparts on

INNOCENT SHIRIMA AZINDUA KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE KATIKA JIMBO LA VUNJO.

Image
Baadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia katika uzinduzi wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Polisi Himo. Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ,Innocent Shirima akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo. Kada wa Chama cha Mapinduzi ,Job Lusinde akisalimiana na kada mwenzake ,Novatus Makunga ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Juma Idd akizungumza katka mkutano huo. Kada wa Chama cha Mapinduzi,Lusinde akizunumza katika mkutano huo. Kada wa Chama cha Mapinduzi na mgombea Ubunge katika jimbo la Simanjiro,Christopher Ole Sendeka akihutubia katika uzunduzi wa kampeni za Ubunge katika jimbo la Vunjo. Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima akikimbia mara baada ya kuitwa Jukwaani. Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima akipokea kifimbo kutoka kwa wazee wa Mila ,

MATUKIO MBALIMBALI MKUTANO WA LOWASA KATIKA JIMBO LA VUNJO.

Image