Tigo Pesa Yatowa Elimu kwa Mawakala Wao Zenzibar

Mkurugenzi  wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi ya  kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya ben bella Zanzibar
Mawakala wa Tigo Pesa Zanzibar wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Maofisa wa Tigo Pesa baada ya mkutano wao wa kutowa elimu ya uliofanyika katika viwanja vya Skuli ya BenBella Zenj.
Msimamizi wa Tigo Pesa Kanada ya Zanzibar Mubaraka akibadilishama mawazo na Mkurugenzi  wa Tigo Pesa Tito Magesho, baada ya mkutano wao na Mawakala wa Tigo Pesa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Ben Bella Zanzibar. 

Mkurugenzi  wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi ya  kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya ben bella Zanzibar
Mkurugenzi  wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na 
mawakala wa Tigo Pesa walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi ya  kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya ben bella Zanzibar
Afisa wa Tigo Pesa Kanda ya Zanzibar Mbaraka akizungumza na Mawakala wa Tigo Pesa Zanzibar wakati wa mkutano na Mawakala hao uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Ben Bella Zanzibar 
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot 
Zanzonews.com.

Comments

Popular posts from this blog

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO