PSPF YASAIDIA VITI KITUO CHA WALIMU MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni
wa PSPF, Bw.Francis Mselem, (kulia), akipena mikono na Mkuu wa Kituo cha
Walimu, Mbagala, Bi.Fausta B.Luoga, wakati akimkabidhi msaada wa viti kwenye
kituo hicho jijini Dar es Salaam leo Januari 29, 2016. Kituo hicho kinatumiwa
na Walimu zaidi ya 1500, na wanafunzi 55. Wanaoshuhudia ni Afisa Masoko na
Uhusiano wa PSPF, Bi. Coleta Mnyamani (wapili kushoto) na Balozi wa Mfuko huo,
Bw. Mrisho Mpoto.
Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, a.k.a Mjomba, (kushoto), na Afisa Masoko na Mahusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Scola Mnyamani, wakiwasili kwenye kituo cha Walimu Mbagala jijini Dar es Salaam, Januari 29, 2016
Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, na Afisa Masoko na Mahusiano wa Mfuko huo, wakiwasalimia wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbagala
Meneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Francis Mselem, (kulia), akipeana mikono na baadhi ya wanafunzi wanaosoma kwenye kituo hicho wakati akiwakabidhi viti
Bw. Mselem akitoa hotuba. Kutoka kushoto kwenda kulia ni Mkuu wa kituo hicho, Fausta Lugola
Balozi Mpoto, akitoa darasa kuhusu huduma za Mfuko huo
Bw. Mselem akiteta jambo na balozi Mpoto
Bw. Mselem akipena miko na mwakilishi wa Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Bw.Adolph Shayo
Baadhi ya walimu waliohudhuria hafla hiyo
Mmoja wa walimu akiuliza swali
Comments
Post a Comment