Posts
Showing posts from January, 2018
MWILI WA MAREHEMU LULU SYLVESTER MATTUNDA LEMA WAWASILI KIJIJINI NRONGA KWA MAZISHI
- Get link
- X
- Other Apps
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu, Lulu Sylvester Mattunda Lema mara baada ya kuwasili nyumbani kwao katika Kitongoji cha Nkwelengya, Kijiji cha Nronga, Kata ya Machame Magharibi, Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro Januari 25, 2018. Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo Ijumaa Januari 26, 2018. Marehemu Lulu Sylvester Mattunda Lema. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Familia katika picha ya pamoja eneo la Korogwe Bararara ya Tanga Waombolezaji wakiwa nyumbani hapo Sylvester Mattunda Lema (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na watoto wake mara baada ya kuwasili Nyumbani kwao katika Kitongoji cha Nkwelengya, Kijiji cha Nronga, Kata ya Machame Magharibi, Mkoa wa Kilimanjaro Wilaya ya Hai kwa taratibu za mazishi yatakayofanyika Leo Saa Nane Mchana, Januari 26, 2018 katika makaburi ya familia yaliyopo eneo hilo Mwinjilisti wa Usharika wa Nronga, Donald Lema akizungumza jambo baada ya
"WAZIRI UMMY AIPIGA TAFU KLABU YA AFRICAN SPORTS"
- Get link
- X
- Other Apps
Mwakilishi wa MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na watoto Ummy Mwalimu,Khatibu Kilenga kushoto akimkabidhi unga nahodha wa timu ya African Sports ambapo kiongozi huyo alitoa mchele kg100,unga wa sembe kg 100,Ngano kg 50,maharage kg 50,sukari kg 50,mafuta ya kupikia lita 20,chumvi ,sabuni na dawa za meno Sehemu ya vitu vilivyotolewa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu Katibu wa Klabu ya African Sports,Ismail Masoud katika aliyeshika funguo akizungumza mara baada ya kupokea msaada huo ambapo alimshukuru Waziri Ummy kwa msaada huo ambao utakuwa chachu ya timu hiyo kumaliza ligi wanayoshiriki kwa ushindi Mwakilishi wa MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga (CCM) na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na watoto Ummy Mwalimu,Khatibu Kilenga aliyevaa kofia kushoto akiteta jambo na viongozi wa klabu ya African Sp
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ALIPOFANYA ZIARA SOKO LA SAMAKI LA MANYEMA
- Get link
- X
- Other Apps
Dkt Mwanjelwa kuzuru China kwa lengo la kuboresha mashirikiano kati ya Serikali ya China na Tanzania
- Get link
- X
- Other Apps
Naibu Waziri, Wizara ya Kilimo Dkt. Mary Mwanjelwa akiwa na mgeni wake Naibu Waziri wa Kilimo wa China, Dkt. Qu Dongyu mara baada ya kumpokea mgeni wake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam Naibu Waziri, Wizara ya Kilimo Dkt. Mary Mwanjelwa akiwa na mgeni wake Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo ya China, Dkt. Qu Dongyu wakiwa katika mazungumzo katika Hotel ya Serena, Jijini Dar es Salaam Naibu Waziri, Wizara ya Kilimo Dkt. Mary Mwanjelwa akiwa na Balozi wa Tanzania nchini China, Mhe. Mbelwa Kairuki Waziri wa Kilimo wa Tanzania Dkt. Charles Tizeba na Naibu Waziri, Dkt. Mary Mwanjelwa pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Dkt. Thomas Kashilila wawakimsikiliza Naibu Waziri wa Kilimo wa China, Dkt. Qu Dongyu Naibu Waziri wa Kilimo kutoka China, Dkt. Qu Dongyu akieleza namna China itakavyoendelea kuisaidia Tanzania katika maeneo mbalimbali kulia na kushoto kwake ni Maafisa wa Ubalozi wa China nchini Naibu Waziri, W
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AKABIDHI JESHI LA POLISI MKOA WA KILIMANJARO MSAADA WA VIFAA VYA MAWASILIANO YA KOMPYUTA .
- Get link
- X
- Other Apps
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issa akiumuongoza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira alipowasili katika uwanja wa mazoezi wa kikosi cha Kutuliza Ghasia kwa ajili ya sughuli ya kukabidhi maada wa vifaa vya mawasiliano ya Kmpyuta kwa jeshi hilo. Gwaride la Heshima lililoandaliwa kwa ajili ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro alipowasili katika viwanja hivyo kutoa msaada wa vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaroo,Anna Mghwira akipokea Salamu ya Heshima mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akiongozwa na Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia mkoa wa Kilimanjaro,Edson Mwalutende kukagua Gwaride lililoandaliwa kwa ajili yake. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta. Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Hamis Issah akimuo