CHUO KIKUU CHA MZUMBE WAZINDUA KITUO CHA KUTOA MSAADA WA KISHERIA

  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro Prof Lughano Kusiluka  akisisitiza jambo kwa wanafunzi chuo hicho kitivo cha Sheria alipowataka kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi mara baada ya uzinduzi wa kituo cha Sheria chuoni hapo
  Mkuu wa wilaya ya Mvomero Mohamed Utaly aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa kituo cha Msaada wa kisheria katika Chuo Kikuu cha  akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kuanzishwa kwa kituo cha msaada wa kisheria chuo kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro anayefata alieshikilia vitabu ni  makamu mkuu wa chuo kikuu cha mzumbe Prof, Lughano Kusiluka

Comments

Popular posts from this blog

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO