KUTUMBULIWA KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI "HUENDA TATIZO LIMEANZIA HAPA "


 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kimekimba . Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu kwa vyombo vya habari .

Hata hivyo sababu za kutenguliwa kwake hazikuweka wazi ,Tza Media Hub imekusogezea kikao cha hivi karibuni cha kutathimini utendaji kazi kwa Wafanyakazi wa Dawasa ambapo Mhandisi Kimikimba alipata nafasi ya kuzungumza.

Comments

Popular posts from this blog

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

MREMA AENDELEA NA MIKUTANO JIMBONI KWAKE VUNJO