Posts

Showing posts from April, 2025
Image
Moja ya Majengo ya zamani katika Shule ya Wasichana ya Ashira iliyopo wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro ,miongoni mwa shule Kongwe zilizofanyiwa maboresho ya miundombinu ya Madarasa,Mabweni pamoja na Vyoo. Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Ashira Zainabu Shushue akizungumzia maboresho yaliyofanywa na Serikali kupitia Mbunge wa Jimbo la Vunjo Dkt Charlwes Kimei katika shule hiyo  kongwe . Dada Mkuu katika Shule ya Wasichana ya Ashira ,Prisca Baraka (Mwenye miwani) akizungumzia maboiresho yaliyofanyika shuleni hapo . Muonekano wa baadhi ya Majengo ya Madarasa na Mabweni yaliyojengwa katika Shule ya Wasichana ya Ashira iliyopo wilaya ya Moshi mkoani Kilimannjaro  Na huu ndio muonekano wa sasa wa Vyoo vilivyojengwa katika shule ya Wasichana ya Ashira iliyopo Marangu wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro . Bwalo ambalo kwa sasa ujenzi wake unaendelea katika shule hiyo . Ashira Girls Sekondari: Kutoka Foleni za Vyoo Hadi Darasa la Kisasa   – Miundombinu Mpya Yafungua F...

MBUNGE MALEKO AGAWA INCUBATOR KWA WANAWAKE KILIMANJARO .

Image
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Esther Maleko akizungumza wakati wa kukabidhi Mashine za kutotoleshea vifaranga kwa wanawake wa kata 169 za mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni sehemu ya ahadi yake aliyoitoa mwaka 2020 wakati akiomba  ridhaa . Baadhi ya wanawake wakimsikiliza Mbunge Esther Maleko katika Warsha iliyoenda sambamba na utoaji wa mashine za kutotoleshea vifaranga ,warsha iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro  Mbunge Esther Maleko wakifurahia muziki na wanawake waliofika kwa ajili ya kupatiwa mashine maalum kwa ajili ya kutotolesha vifaranga zilizotolewa na mbunge huyo kwa wanawake wa mkoa wa Kilimanjaro . Mbunge Esther Maleko akikabidhi mashine maalum kwa ajili ya kutotolesha vifaranga kwa viongozi wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi wilaya za Moshi vijijini na Moshi mjini na kushuhudiwa na katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Merce Mollel .  Anaadika Dixon Hussein - Kilimanjaro  Katika hatua ya kuimaris...