Posts

SHIRIKISHO LA RIADHA TANZANIA LAMSHUKURU RAIS WA TFF,JAMAL MALINZI KWA MCHANGO WA TIMU YA TAIFA YA RIADHA INAYOJIANDAA NA OLYIMPIC.

Image

WANANCHI WAFURIKA BANDA LA BENKI YA NMB KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI UWANJA WA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI.

Image
Mgeni Rasmi katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji,Mkuu wa Idara ya Utumishi na Utawala manispaa ya Moshi,Wencelaus Lindi akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Benki ya NMB katika maeonesho hayo yanayofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika mjini Moshi. Meneja Mwandamizi wa Mahusiano ya biashara na Kilimo wa Benki ya NMB,Oscar Rwechungura (aliyenyoosha kidole) akitoa maelezo kwa mgeni rasmi ,Wencelaus Lindi (aliyekunja mikono) katika maonesho ya Wakulima na Wafugaji yaliyoandaliwa na Mtandao wa kusaidia wakulima wa AgriProFocus. Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi,Emanuel Kashusho akikabidhi zawadi ya T-shirt ,Kalamu na Key holder kwa mgeni rasmi ,Wencelaus Lindi mara baada ya kutembelea banda la Benki hiyo na kupata maelezo namna inavyoshirikiana na wakulima katika kukuza mitaji yao. Mgeni rasmi ,Wencelaus Lindi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB pamoja na wananchi wengine...

SIKU YA WADAU WA WINDHOEK ILIVYOFANYIKA HOTEL YA PROTEA COURTYYARD JIJINI DAR ES SALAAM

Image
  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benadicta Rugemalira, akizungumza na wadau wa windhoek Dar es Salaam jana katika siku ya wadau iliyofanyika Hoteli ya Protea Courtyyard.   Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibi Beer Wines and Spirits Ltd, Jerome Rugemalira akizungumza na wadau hao katika hafla hiyo.   Mdau wa Windhoek Frank Kamugisha akitoa neno katika  hafla hiyo.   Meneja wa Kampuni hiyo, Mr Ruta akizungumza katika hafla hiyo.   Wafanyakazi wa Kampuni ya Mabibo na wadau wa windhoek wakifurahia siku hiyo ya wadau.   Hapa ni furaha tu kwa kwenda mbele.   Hafla ikiendelea.   Kikosi cha Windhoek Cultural Troup kikitoa burudani   Hapa ni Windhoek kwa kwenda mbele meza zimekamilika.   Kila mtu na jambo lake kinywaji mkononi.   Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya Mabibo, Benedicta Rugemalira akiwashukuru wadau wa windhoek. ...

MAONESHO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI YALIYOANDALIWA NA AGRIPROFOCUS YAFANYIKA UWANJA WA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI.

Image
Mgeni Rasmi katika maonesho ya Wakulima na Wagaji ,Mkuu wa idara ya Utumishi na Utawala Manispaa ya Moshi,Wencelaus Lindi akisoma hotuba ya ufunguzi wa maonesho hayo yaliyoandaliwa na Mtandao wa kusaidia Wakulima wa AgriProFocus yanayofanyika katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika mjini Moshi.  Baadhi ya wananchi wakiwemo wakulima na wafugaji waliohudhuria ufunguzi wa maonesho hayo ya siku Mbili. Afisa Msaidizi wa  Mtandao wa wadau mbalimbali wanaosaidia wakulima wenye ndoto wa AgriProFocus ,Hildagard Okoth akitoa maelezo kwa mgeni rasmi Wenceslaus Lindi wakati akitembelea mabanda katika maonesho ya Wakulima na Wafugaji yanayoendelea katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi. Afisa Ugavi wa SEVIA,Lewis Mlekwa akitoa maelezo kwa Mgeni rasmi alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maonesho ya Wakulima na Wafugaji yanayoendelea katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara mjini Moshi. Bwana Shamba wa kampuni ya Agrichem Africatz Ltd ,Mrisho Y...