H.M QUEEN'S BATON RELAY LAUNCH By Ayoub Mzee-London Today i was present at Buckingham Palace , where H.M The Queen launched the Queen's Baton.The Queen’s Baton Relay has officially been launched by Queen Elizabeth II as the countdown to the Commonwealth Games on the Gold Coast in 2018, finally begins. The relay began with a ceremony and concert in front of Buckingham Palace before the torch heads off on a 388-day, 230,000km journey to the Gold Coast carrying a special message from the Queen. The Queen, her husband Prince Philip the Duke of Edinburgh, and their son Prince Edward, the Earl of Wessex, sent the torch on its way for a grand tour of all 52 Commonwealth nations and territories in Africa, the Americas, the Caribbean, Oceania, Asia and Europe before it arrives to spend the final 100 days touring Australia. Over the years ,the buton relay has evolved into a powerful symbol of unity and di...
Posts
MASAUNI AWATAKA MAAFISA MAGEREZA KUONGEZA KASI YA UZALISHAJI NCHINI, AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA VITUO VYA MAGEREZA TANZANIA BARA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
- Get link
- X
- Other Apps
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa suti) akiongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, (CGP) Dkt. Juma Malewa (mbele), kuingia ukumbini kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Maafisa Waandamizi kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Magereza pamoja na Wakuu wa Vituo vya Magereza Tanzania Bara, uliofanyika Bwalo Kuu la Maafisa wa Jeshi hilo, Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake ya ufunguzi, Masauni aliwataka Maafisa wa Jeshi hilo, kuongeza kasi zaidi ya kuzalisha katika kilimo, miradi ya ufugaji pamoja na vyanzo vingine ili kulilitea mapato zaidi Jeshi hilo. Aidha, alisema kwa Maafisa watakaozembea katika uzalishaji wataondolewa katika nyadhifa zao. ( Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Maafisa Waandamizi kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Magereza naWakuu wa Vituo vya Magereza yote Tanzania Bara (hawapo pi...
MBUNGE WA JIMBO LA TANGA ATEMBELEA UJENZI WA MFEREJI WA MAGAONI UNAOJENGWA KUKABILIANA NA ADHA YA MAFURIKO .
- Get link
- X
- Other Apps
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku aliyevaa shati jeupe wa kwanza kulia akiangalia namna uchimbaji wa mfereji wa kupitishia maji wakati wa mvua unavyochimbwa wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku aliyevaa shati jeupe wa kwanza kulia akiangalia namna uchimbaji wa mfereji wa kupitishia maji wakati wa mvua unavyochimbwa wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku wa kwanza kulia akisisitiza jambo kwa mafundi wanaoendelea na ujenzi wa mfereji wa magaoni kwa ajili ya kupitishia maji ya mvua ikiwa ni mpango madhubuti wa kukabiliana na adha ya mafuriko nyakati za mvua Kazi zikiendelea kama inayoonekana kwenye eneo hilo Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku wa tatu kutoka kushoto akisisitiza jambo kwa msimamizi wa mradi huo Ephahim Lucas wakati alipotembelea ujenzi wa mfereji hu...
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA SONGWE AWATOLEA UVIVU MADIWANI, MBUNGE
- Get link
- X
- Other Apps
Elias Nawera. Na Brandy Nelson Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe mkoani hapa,Elias Nawera ambaye ameingia mgogoro na madiwani wake, ameibuka na kutoa msimamo wake kwamba atafanya kazi kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za utumishi wa umma na si kwa matakwa ya wanasiasa. Hivi karibuni Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Songwe, Phillipo Mulugo walidai kutoridhishwa na hawana imani na utendaji kazi wa mkurugenzi huyo kwenye kikao chao kilichoitishwa kwa dharula kwa lengo la kumjadili na kumuazimia kumfuka kazi. Akizungumza juzi , Nawera alisema kuwa amepelekwa kwenye halmashauri hiyo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi na siyo kumtumikia mtu mmoja mmoja kwani kufanya hivyo ni kukiuka misingi ya utawala bora. "Unajua baraza la madiwani ni wawakilishi wa wananchi na ni siasa, na siasa mara nyingi ilivyo ni nani kapata nini wakati gani vipi, kimsingi ndiyo s...
MJENGONI BANDI KUFANYA UZINDUZI RASMI MARCH 16 KATIKA UKUMBI WA KLABU HOUSE TRIPLE A
- Get link
- X
- Other Apps
wanamziki wa bendi ya mjengoni wakiwa wanafanya mambo ndani ya jukwaa la kiwanja cha nyumbani mjengoni Klabu Rais wa bendi ya mjengono Robert Mukongya (Digital) akiwa anaimba ndani ya jukwaa Habari picha na Woinde Shizza,Arusha Bendi mpya ya mziki wa dance ijulikanayo kwa jina la Mjengoni classic band inatarajia kufanya utambulisho wao rasmi kwa mara ya kwanza mapema march 16 katika ukumbi wa Triple A klabu house uliopo ndani ya jiji la Arusha Akiongea na waandishi wa habari Rais wa bendi hiyo Robert Mukongya (Digital) alisema kuwa pamoja kuwa bendi hiyo imekuwa ikitoa burudani katika uwanja wa nyumbani mjengoni Klabu pamoja na sehemu nyingine mbalimbali lakini walikuwa awajaizindua rasmi hivyo wanatarajia kufanya uzinduzi ramsi katika siku hiyo ya alyamisi. Alisema anapend akuwakaribisha wapenzi wote wa muziki wa dance wazee kwa vijana kuja kuona jinsi bandi hi...