Posts

BANDA LA BENKI YA NMB KATIKA MAONESHO YA WIKI YA USALAMA LAWA KIVUTIO.

Image
Gari Maalumu la Benki ya NMB likitoa huduma za kibenki katika maonesho ya wiki ya Usalama yanayoendelea katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi. Afisa Masoko wa Benki ya NMB tawi la Nelson mandela ,Moshi ,Martha Malisa akizungumza jambo na mteja aliyefika kutembelea Banda la NMB katika maonesho ya wiki ya Usalama yanayofanyika katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi. Afisa Masoko wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Theodosia Manyama akichukua Tasiwra ya mmoa wa wateja aliofika katika Banda la NMB kwa ajili ya kufungua akaunti,aliyeshika kitambaa ni Afisa Masoko wa Benki hiyo Martha Malisa. Meneja Huduma kwa wateja tawi la Nelson Mandela Moshi ,Moses Koda akishuka kutoka kwenye gari maalumu ambalo linatoa huduma za kibenki katika maonesho ya wiki ya usalama yanayofanyika katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi.  Wakala wa Benki ya NMB akimuelekeza jambo mteja wa Benki ya NMB aliyefika kwa ajili ya kufungua akaunti . Wakala wa Benki ya NMB akipokea pesa kutoka ...

SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI LA AFRICAID KUPITIA MRADI WA KISA LAWAKUTANISHA WASICHANA WA KIDATO CHA TANO NA SITA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA MKOANI KILIMANJARO.

Image
Muwasilishaji wa mada katika kongamano lililowajumuisha Wasichana wanaosoma kidato cha tano na sita katika shule mbalimbali mkoani Kilimanjaro,Nyamagesa Laban akizungumza katika kongamano hilo lililofanyika katika Chuo cha Wanyamapori Mweka.  Baadhi ya wanafunzi wakifuatilia kwa karibu ujumbe uliokuwa ukitolewa na Nyamagesa ambaye pia ni mwandishi wa vitabu. Baadhi ya wananfunzi walioshiriki kongamano hilo wakiuliza maswali kwa Nyamagesa mara baada ya kumaliza kutoa ujumbe kwa wanafunzi hao. Muwasilishaji wa mada katika kongamano la Wasichana wa Shule za Sekondari mkoni Kilimanjaro,Stumai Simba akizungumza katika kongamano hilo. Baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia Mada zilizokuwa zikitolewa. Baadhi ya Wanafunzi wakimuuiza maswali Muwasilishaji wa mada katika ongamano hilo.   Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini. WASICHANA walioko shuleni   wametakiwa kuacha kuchagua kazi za kufanya...

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB,MATAWI YA MAWENZI NA MBUYUNI MJINI MOSHI WAFANYA USAFI NA KUTOA ZAWADI KWA WAGONJWA ,HOSPITALI YA ST JOSEPH.

Image
Wafanyakazi wa Benki ya NMB ,Matawi ya Mawenzi na Mbuyuni wakiwa katika Hospitali ya St,Joseph mjini Moshi kwa ajili ya zoezi la usafi pamoja na kutoa zawadi kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ikiwa ni muendelezo a wiki ya huduma kwa wateja. Mmoja wa watumishi wa Hosptali ya St Joseph akimvisha kizuia vumbi ,mfanyakazi wa Benki ya NMB walipofika hospitalini hapo kwa ajili ya kufanya usafi. Mganga Mkuu wa Hospitali ya St Joseph Sista,Ubanus Lyimo akimvisha kofia maalumu Menenja wa Benki ya NMB,tawi la Mawenzi kabla ya kuanza zoezi la Usafi katika Hospitali hiyo. Wafanyakazi wa Benki ya NMB,matawi ya Maeenzi na Mbuyuni mjini Moshi wakishiriki zoezi la usafi eneo la nje ya Hospitali ya St Joseph ikiwa ni sehemu ya kuendelea na maadhimisho ya wiki ya huduma kwa watena. Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakichoma moto taka mara baada ya kuhitimisha zoezi la usafi katika Hospitali hiyo Wafanyakazi wa NMB,matawi ya Mawenzi na Mbuyuni mjini Moshi ,wakiwa wameshikili...

NG'OMBE 600 WACHINJWA KATIKA SHEREHE YA EID AL ADHA JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Mmoja kati ya kundi kubwa la ng’ombe akishushwa baada ya kuwasili katika eneo la kuchinja mapema leo tayari kwa kuchinjwa. Waislamu duniani kote wanasherehekea sikukuu ya Idi ambayo husherehekewa kwa kutoa sadaka ya kuchinja. Ngombe takriban 600 wanatarajiwa kuchinjwa katika kipindi cha siku nne. Kundi la ng’ombe wakiwa wamelazwa chini tayari kwa kuchinjwa katika sikukuu ya Idi inayosherehekewa duniani kote na waumini wa dini ya Kiislamu, siku hii ni siku maalumu ya kuchinja na kutoa sadaka. Ng’ombe zaidi ya 600 watachinjwa mpaka kufikia kilele cha maadhimisho ya sikukuu hiyo. Tukio la kuchinja limefanyika jijini Dar es Salaam katika shule ya Feza Boys iliyoko Kunduchi.

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) LATOA MSAADA KWA WAGONJWA WA MOYO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI, WANAFUNZI SHULE YA MSINGI OLYMPIO WATEMBELEA POSTA KUU

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi, akizungumza na uongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakati uongozi wa shirika hilo, ulipotembelea taasisi hiyo, Muhimbili Dar es Salaam, kuwaona wagonjwa na kutoa msaada wa fedha kwa watoto wawili kwa ajili kusaidia kufanyiwa upasuaji, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Posta Duniani, leo Oktoba 10, 2017.  Kushoto ni Kaimu Postamasta wa shirika hilo, Deo Kwiyukwa. Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo Kwiyukwa, akizungumza na  Uongozi pamoja na Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, wakati uongozi wa shirika hilo, ulipotembelea taasisi hiyo, kuwaona wagonjwa na kutoa msaada wa fedha kwa watoto wawili wagonjwa wa moyo, kusaidia kufanyiwa upasuaji, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Posta Duniani leo Oktoba 10, 2017 jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo, Profesa Mohamed Janabi.  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi...