News Alert:MAULIDI KITENGE AACHA KAZI ITV/RADIO ONE

Mtangazaji nguli wa Michezo katika kituo cha radio one na ITV ametangaza kuacha kazi katika vituo hivyo na kuamua kwenda kufanya shughuli zake binafsi.

Katika barua yake ya kuacha kazi Kitengo akijinasibu kama Mshambulizi mweye jezi namba tisa mgongoni ameeleza amekitumikia kituo hicho kwa zaidi ya muongo mmoja na kwamba kutokana na ugumu na kupanda kwa gharama za maisha ameona ni vyema akaenda kufanya shughuli nyingine .

Comments

Popular posts from this blog

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

CHUO KIKUU CHA MZUMBE WAZINDUA KITUO CHA KUTOA MSAADA WA KISHERIA