TIB YAKABIDHI MICHORO HALISI YA KITUO CHA MABASI KWA UONGOZI WA MANISPAA YA MOSHI.



Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB) Jaffer Machano akizungumza wakati wa kikao kifupi kati ya uongozi wa TIB na ule wa Manispaa ya Moshi juu ya Ujenzi wa kituo kipya cha kisasa cha Mabasi cha Ngangamfumuni .
Kikao kinaendelea.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa kikao hicho.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi ,Shaban Ntarambe akitoa neno la shukrani wakati ujumbe wa Benki ya Rasilimanli nchini TIB ulipotembelea ofisini kwake kwa ajili ya kukabidhi michoro halisi ya kituo kikuu cha mabasi cha kisasa cha Ngangamfumuni .
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB) Peter Noni akimkabidhi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary Michael ,CD ya mchoro halisi wa Jengo la kisasa la kituo kikuu cha Mabasi cha
Ngangamfumuni mkoani Kilimanjaro
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB) Peter Noni akimkabidhi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary Michael makabrasha ya michoro halisi ya Jengo la kisasa la kituo kikuu cha Mabasi cha Ngangamfumuni mkoani Kilimanjaro .
Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akikabidhi mkurugenzi wa manispaa hiyo Shaban Ntarambe makabrasha ya Michoro halisi ya kituo kikuu cha Mabasi cha kisasa cha Ngangamfumuni iliyotolewa na Benki ya Rasilimali nchini(TIB) kama hatua za awali za utoaji wa mkopo kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho.
Uongozi wa Benki ya rasilimali nchini (TIB) ulipofika ofisini kwa mkurugenzi wa manispaa ya Moshi ,Shaban Ntarambe kwa ajili ya kukabidhi michoro halisi ya jengo la kisasa la kituo kikuu cha Mabasi cha Ngangamfuni.toka shoto ni Mkurugenzi mkuu wa TIB ,Peter Noni,Jaffer Machano (Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa TIB)

Na Dixon Busagagawa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

Comments

Popular posts from this blog

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA.

BENKI KUU YATOA TAARIFA KUHUSU UPOTOSHAJI JUU YA SARAFU YA SH ,500/