Posts

Showing posts from November, 2014

NYALANDU LAUNCHED HOT SPRING BOARDWALK WAY AND HIPPO POOL VIEWPOINT IN LAKE MANYARA.

Image
Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu unveils the foundation stone of the Lake Manyara hot springs boardwalk way yesterday. Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu (2 nd  left) cut off ribbon to officially launch Lake Manyara hot springs boardwalk way and hippo pool view point in Lake Manyara. Others in the picture from left are Manyara Regional Commissioner Hon. Elaston Mbwilo; Director General of TANAPA Allan Kijazi and the Chairman of the Parliamentary Committee on Lands, Natural Resources and Environment Hon. James Lembeli Chief Park Warden for Lake Manyara National Park Domician Njau (right) explain a point to Hon. Lazaro Nyalandu, Minister for Natural Resources and Tourism as they walk through the Lake Manyara Hot springs boardwalk way yesterday Chairman of the Tanzania Association of Tour Operators Wilbard Chambulo was also there to emphasis the importance of National Parks. Director General of TANAPA Alla

KANDA YA KASKAZINI WAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA.

Image
Wanaharakati kutoka shirika la Kwieco la mkoani Kilimanjaro wakiwa katika maandalizi ya maadhimisho ya siku 16 za kupingaukatili wa kijinsia. Maandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipita katika mitaa mbalimbali ya mji wa Moshi. Mkurugenzui wa shirika la KWIECO ,Elizabeth Minde (mwenye miwani myeusi) akiwa katika maandamano hayo. Brass Band ya Chuo cha Polisi ikiongoza maandamano ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa kanda ya kaskazini yaliyofanyika mkoani Kilimanjaro. Maandamano yakiingia katika viwanja vya manyema ambako maandamano hayo yalikomea na kufuatia na burudani mbalimbali sanjari na hotuba toka kwa mgeni rasmi. Afisa habari wa shirika la KWIECO ,Veronica Ollomi akitoa maelezo juu ya utendaji kazi wa shirika kwa mgeni rasmi Mtumwa Mwako alipotembelea bana la shirika hilo . Afisa habari wa KWIECO ,Veronica Ollomi akitoa zawadi kwa mgeni rasmi Mtumwa Mwako. Mgeni rasmi katika maadhimish

MKWAJA FC MABINGWA WAPYA MWIDAU CUP 2014

Image
Kombe la mshindi wa kwanza katika fainali ya kuwania kombe la Mwidau Cup 2014 iliyozikutanisha timu za Mkwaja Fc na Kimanga fc. Mdhamini wa Mashindano ya Mwidau Cup 2014 ambaye pia ni  Mbunge Amina Mwidau akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Mkwaja FC, Salim Rashid mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali kati ya timu hiyo na Kimanga fc. Timu ya soka ya Mkwaja FC imetwaa ubingwa wa kombe la Mwidau CUP mwaka 2014 baada ya kuifunga timu ya soka ya Kiman’ga kwa mabao 4-2 katika mtanange uliipigwa kwenye Uwanja wa Mwera wilayani Pangani. Mchezo huo ambao ulikuwa ni wakuvutanikuvute katika kipindi cha kwanza lakini timu ya Kiman’ga ilionyesha kuzidiwa uwezo kwa kuweza kuruhusu mvua ya magoli katika dakika za awali toka mpira kuanza. Mchezaji wa Mkwaja FC Masoud Ticha ndio alionekana kinara katika mchezo baada ya kuifungia timu yake mabao matatu katika dakika za 8 na 38 kabla ya kwenda mapumziko .   Hata hivyo kipindi cha pili Kiman’ga ilionyesha makucha baada

WAFUGAJI WAVAMIA ENEO LA MWEKEZAJI,WACHOMA MOTO NYUMBA NA MAGARI.

Image
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Siha ,Rashid Kitambulilo akimuongoza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama wakati akitembelea eneo la mwekezaji la Tanganyika Film and Safari ambako wafugaji jamii ya Masai wanadaiwa kufanya uharibifu mkubwa. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakitizama uharibifu  uliofanywa na wafugaji jamii ya Masai. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitizama moja ya gari lililochomwa moto na watu wanaodaiwa kuwa ni wafugaji jamii ya Masai. Askari Polisi walilazmika kuongeza ulinzi katika eneo hilo. Mkuu wa mkoa ,Gama akiteta jambo na baadhi ya viongozi ambao ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama. Vikao vikiendelea eneo la mwekezaji. Uharibifu mkubwa umefanyika ambapo nyumba 16 na magari tisa yameteketea moto. Mwekezaji Peter Jones akizungumza na wanahabari kuhusu tukio hilo lililomsababishia hasara kubwa. Vikosi vya askari Polisi kutoka