JK APANGUA WAKUU WA WILAYA ,ATEUA SURA 27 MPYA WAMO,MWAKALEBELA WA TFF,MAKONDA,SHABANI KISU,MBONI NA RPC WA ZAMANI ZELOTHE STEVEN.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, amefanya uteuzi wa wakuu wapya wa Wilaya, kuwahamisha vituo vya kazi huku wengine wakiachwa.

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema majina 27 mapya yameteuliwa huku wengine 11 wakitupwa nje ya uongozi huo.


Walio teuliwa ni pamoja na Katibu Mkuu wa Zamani wa TFF, Freddrick Mwakalebela, Mtangazaji wa TBC, Shaban Kisu, Katibu wa Hamasa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Paul Makonda, Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mboni Mhita na aliyewahi kuwa RPC, Zolothe Steven.

Majina hayo yametangazwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mjini Dodoma mchana huu.


Comments

Popular posts from this blog

TIB YAKABIDHI MICHORO HALISI YA KITUO CHA MABASI KWA UONGOZI WA MANISPAA YA MOSHI.

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA.

BENKI KUU YATOA TAARIFA KUHUSU UPOTOSHAJI JUU YA SARAFU YA SH ,500/