Pirika pirika zilizozoeleka katika kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi hazikuonekana katika kituo hicho. Maduka yaliyopo katika jengo la Halmashauri ya manispaa ya Moshi lenye ghorofa mbili pia hali ilikuwa hivi. Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa baadhi ya maduka yaliyoko Double road. Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa nje ya maduka yao mara baada ya kuamua kuyafunga kwa kile wanaochodai kufanya mgomo kwa lengo la kumuunga mkono Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Johnson Minja ambaye kesi yake inasikilizwa mkoani Dodoma. Maduka yaliyoko kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi yakiwa yamefungwa mara baada ya wafanyabiashara kuamua kufanya mgomo. Baadhi ya maduka katika jengo ala Neneu Complex yakiwa yamefungwa hakuna huduma iliyokuwa ikitolewa. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akiwasili katika ghala la kuhifadhia bidhaa la Kampuni ya Marenga Investment alipofanya ziara ya ghafla kwa lengo la kujionea hali ya upungufu wa sukari pamoja na kufanya ukaguzi mwingine.aliiongozana nao ni kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutafungwa na Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akiwa katika ghala la kuhifadhia bidhaa mbalimbali la kampuni ya Marenga Investment.kulia ni kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Wilbroad Mutafungwa. Mifuko ya Sukari iliyopo katika ghala hilo. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadicky akiwana Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutafungwa wakimngojea mmiliki wa Ghala hilo . Sehemu ya Sukari inayozalishwa na kampuni ya sukari ya TPC ikiwa katika mifuko ya kilogramu 2. Sehemu ya bidhaa ya unga ikiwa katika Ghala hilo. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said M
Mkutano wa hadhara wa chama cha Tanzania Labour (TLP) uliokuwa ukihutubiwa na Mbunge wa jimbo la Vunjo Agustine Mrema jirani na matanki ya Maji katika kijiji cha Mieresini wilaya ya Moshi vijijini. Afisa uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Frolah Nguma (aliyesimama)akitoa ufafanuzi juu ya maswala ya maji baada ya Mbunge Mrema kumtaka kufanya hivyo muda mfupi baada ya maofisa wa Mamlaka hiyo kufika katika Matenki ya Maji kwa ajili ya ukaguzi wa kawaida. Msimamizi mkuu wa (MUWSA) Kituo cha Himo Brucevictor Sangawe akitoa ufafanuzi kwa wananchi mbele ya mbunge wa jimbo la Vunjo ,Agustine Mrema juu ya upatikanaji wa maji kwa wakazi wa maeneo ya ukanda wa juu katika mji wa Himo. Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mbunge Mrema. Mh Mrema akifuatilia maelezo ya maofisa wa Mamlaka ya maji na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) walipokuwa wakitoa maelezo kwa wananchi (hawapo pichani) ,Na Dixon Busagaga wa Globu ya J
Comments
Post a Comment