MKUTANO WA LOWASSA MJINI MULEBA, MKOANI KAGERA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishuka kutoka kwenye Helkopta anayoitumia kwa ziara zake za Kampeni, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera .
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, wakiwasalimia wananchi wa Mji wa Muleba, wakati walipowasili kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera leo Septemba 15, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini kupitia CHADEMA, Kashasira Alistides, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, Mjini Muleba, Mkoani Kagera Katikati ni Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera .
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza, Mh. Ezeckiel Wenje akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera .
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera .
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini kupitia CHADEMA, Kashasira Alistides, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, Mjini Muleba, Mkoani Kagera.

Comments

Popular posts from this blog

TIB YAKABIDHI MICHORO HALISI YA KITUO CHA MABASI KWA UONGOZI WA MANISPAA YA MOSHI.

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA.

BENKI KUU YATOA TAARIFA KUHUSU UPOTOSHAJI JUU YA SARAFU YA SH ,500/