Posts

Showing posts from January, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPTALI YA RUFAA YA MAWENZI MKOANI KILIMANJKARO.

Image
Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Majaliwa Kassim Majaliwa akiwasili Ikulu ndogo ya mjini Moshi. Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akisalimiana na Waziri mkuu  Majaliwa. Waziri Mkuu  akislimiana na Mstahiki meya wa  Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya . Waziri mkuu akiwasili katika hosiptali  ya rufaa ya Mawenzi alipofanya ziara  ya  kushtukiza. Waziri mkuu akitizama chumba cha kupigia  pcha za mionzi (X Ray) katika hosspitali  ya rufaa  ya Mawenzi. Waziri mkuu akiwa wodi ya watoto alipotembelea kujionea namna ambavyo  wagonjwa wanahudumiwa. Waziri mkuu Majaliwa akizungumza jambo na mganga  mkuu wa mkoa  wa Kilimanjaro,Dkt Mtumwa  mwako. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro akitoa taarifa ya mkoa kwa Waziri  mkuu  Kassim Majaliwa. Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika mkutano huo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Vunjo ,James Mbatia walipokutana Ikulu ndogo mjini Moshi. Ba

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KUSHIRIKI IBADA YA KUMUINGIZA KAZINI ASKOFU MKUU WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHELI TANZANIA (KKKT) MJINI MOSHI.

Image
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akizung4umza na wanahabari ofisini kwake kuhusu ugeni wa Waziri mkuu ,Majaliwa Kassim Majaliwa mkoani Kilimanjaro. Baadhi ya wanahabari wa mkoa wa Kilimanjaro wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amosi Makala ali-pozung4umza nao ofisini kwake. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. WAZIRI mkuu, Majaliwa Kassimu Majaliwa, leo  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ibada maalum ya kumuingiza kazini askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania(KKKT),Askofu Dk Frederick Shoo katika kanisa kuu la Moshi mjini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla,amesema waziri mkuu anatarajiwa kuwasili  mkoani Kilimanjaro kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) ambapo atapokea taarifa ya mkoa kabla ya kufanya shughuli za kanisa. Alisema waziri mkuu hataongozana na waziri yeyote wa serikali ya awamu ya tano bali wasaidizi wake na baada ya ziara hiyo maalum at

PSPF YASAIDIA VITI KITUO CHA WALIMU MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Meneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Francis Mselem, (kulia), akipena mikono na Mkuu wa Kituo cha Walimu, Mbagala, Bi.Fausta B.Luoga, wakati akimkabidhi msaada wa viti kwenye kituo hicho jijini Dar es Salaam leo Januari 29, 2016. Kituo hicho kinatumiwa na Walimu zaidi ya 1500, na wanafunzi 55. Wanaoshuhudia ni Afisa Masoko na Uhusiano wa PSPF, Bi. Coleta Mnyamani (wapili kushoto) na Balozi wa Mfuko huo, Bw. Mrisho Mpoto.   Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, a.k.a Mjomba, (kushoto), na Afisa Masoko na Mahusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Scola Mnyamani, wakiwasili kwenye kituo cha Walimu Mbagala jijini Dar es Salaam, Januari 29, 2016  Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, na Afisa Masoko na Mahusiano wa Mfuko huo, wakiwasalimia wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbagala  Meneja Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Francis Mselem, (kulia), akipeana mikono na baadhi ya wanafunzi wanaosoma kwenye kituo hicho wakati akiwakabidhi viti  Bw. Mselem akitoa hot

SUMAYE AIANGUKIA SERIKALI WANANCHI KUVAMIA SHAMBA LAKE LA EKARI 33 MABWEPANDE JIJINI DAR ES SALAAM

Image
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye  Dar es Salaam leo asubuhi mara baada ya kuwasili eneo la Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kuangalia eneo la ekari 33 la Sumaye lililovamiwa na wananchi.   WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye (wa pili kulia), na mke wake mama Esther (kushoto), wakimuonesha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia) eneo la shamba lake la ekari 33 lililopo Mabwepande Manispaa ya Kinondoni lililovamiwa na wananchi walipotembea eneo hilo Dar es Salaam leo asubuhi.   Hapa Sumaye na viongozi wengine wakitafakari jambo.   DC Makonda akihutubia katika mkutano huo. Kulia ni Diwani wa Kata ya Mabwepande, Suzan Masawe.   Mheshimiwa Sumaye (kushoto), akiongoza kuonesha mpaka wa shamba lake.   Mhe. Sumaye akielezea uhalali wake wa kumiliki eneo hilo.   Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mji Mpya,  Justine Chiganga (kulia), akizungumza katika mkutano huo    Moja ya kiba