Posts

Showing posts from February, 2026

EFTA YACHOCHEA UCHUMI KWA HATI FUNGANI YA BILIONI 50

Image
  Mkurugenzi Mtendaji wa Equity For Tanzania Limited- EFTA Bwana Nicomed Bohay akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzindunzi wa Hati Fungani za EFTA tukio lilofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam katika Hotel ya Kilimanjaro Hyatt Regency.  Wageni mbalimbali, wakiwemo wadau wa sekta ya fedha, wawekezaji na wawakilishi wa taasisi za kifedha, wakifuatilia kwa makini tukio la uzinduzi wa EFTA Corporate Bond ya Shilingi bilioni 50, lililofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliashiria hatua mpya ya kuimarisha upatikanaji wa mtaji wa muda mrefu kwa sekta za uzalishaji nchini. Wajumbe wa jopo la majadiliano wakichangia mada wakati wa uzinduzi wa EFTA Corporate Bond ya Shilingi bilioni 50 jijini Dar es Salaam, wakijadili umuhimu wa mtaji wa muda mrefu katika kuimarisha sekta za uzalishaji na kukuza masoko ya mitaji nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Nicomed Bohay, akichangia mjadala wa jopo wakati wa uzinduzi wa Hati Fungani ya Sh bili...

JIKO LA UMEME LATULIZA NDOA KIJIJI CHA MAENDELEO MOSHI

Image
Afisa Uhusiano ,Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme (TANESCO) mkoa wa Kilimanjaro Bi Mwanaisha Mbita akikabidhji jiko la umeme kwa familia ya Mwalimu Mstaafu Rajabu Samweta ikiwa  ni sehemu ya uhamasishaji juu ya matumizi ya nishati nafuu kwa wananchi. Bi Debora Mwamponda (Mwanamke Shupavu) akitoa elimu juu ya matumizi ya nishati nafuu ya kupikia kwa kutumia umeme kwa mmoja wa nananchi wakijiji cha Maendeleo kilichopo Chekereni katika wilaya ya Moshi  Baadhi ya Wateja wa huduma ya umeme katika kijiji cha Muungano Chekereni kilichopo wilaya ya Moshi wakisiliza maelekezo kutoka kwa maafisa wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro ,Afisa Uhusiano ,Huduma kwa wateja Mwanaisha Mbita pamoja na Obadiah. Baadhi ya Wananchi katika kijiji cha Muungano ,Chekereni wilaya ya Moshi wakifuatilia maelezo ikiwa ni pamoja na kuwasilisaha changamoto zao kwa maafisa wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro . Afisa Uhusiano ,Hudumakwa wateja wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro akizungumza na wananchi katika eneo la Chek...