Posts

MIJADALA YA UTALII,UHIFADHI,UJANGILI NA UJIRANI MWEMA WATAWALA KONGAMANO LA TANAPA NA WAHARIRI.

Image
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akitoa ufafanuzi kwa Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wanaoshiriki kongmano jijini Mwanza. Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa Shirika la Hiadhi za Taifa(TANAPA) Ibraim Mussa akitoa ufafanuzi kwa Wahariri wa habaro toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wanaoshiriki Kongamano jijini Mwanza. Mwenyekiti wa Majadiliano katika kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya Habari nchini Dk Ayoub Rioba akizungumza jambo katika Kongamano hilo. Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Ahmed Mbugi akiwasilisha mada kwa Wahariri wa Habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini katika kongamano linalofanyika jijini Mwanza. Washereheshaji wa shughuli mbalimbali katika kongamano la Wahariri wa habari ,Peter Mavunde na Sauda Simba Kilumanga wakitizama ratiba ili kuhakikisha mambo yote yanaenda sawa katika kongamano hilo. Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Ahmed Mbugi akiteta...

KINANA ,NYARANDU WAINGIA MKENGE.

Image
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaidia kuvuna mtama kwenye shamba la mkulima Khamis Idd (kushoto) katika Kijiji cha Mkenge, Jimbo la Singida Kaskazini, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu akisaidia kuvuna mtama kwenye shamba la mkulima Khamis Idd katika Kijiji cha Mkenge, jimboni humo leo. Kinana akiweka mtama kwenye mashine ya kupembua ambapo kwa saa moja hupata magunia 6 hadi 10 ya mtama. Kinana akiwa katika vazi asili la viongozi wa kabila la Wanyaturu, akitoka baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Msange, wakati wa ziara yake Singida Kaskazini leo. Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Singida Kaska...

AJALI YA NDEGE RUAHA MOUNTAIN NATIONAL PARK.

Image
Ajali hiyo iliyotokea jana jioni na kuhusisha ndege aina ya Cecina namba 5H-TNP ilitokea katika hifadhi hiyo mkoani Kigoma hata hivyo hakuna mtu aliyefariki dunia.

TANAPA YAWAKUTANISHA WAHARIRI TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI,JIJINI MWANZA,

Image
Moderetor wa kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini Ayub Rioba akitoa maelekezo wakati wa kongamano hilo linalofanyika katika hotel ya JB Belmont jijini Mwanza. Meneja mawasiliano wa Shirika la Hifadhi ya Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali ya habari nchini linalofanyika jijini Mwanza. Kaimu mkurugenzi mkuu waTANAPA ,ambaye pia ni mkurugenzi wa Utalii na Masoko Ibrahim Musa akizungumza kwa niaba ya mkurugenzi mkuu wa TANAPA ,Allan Kijazi katika kongamano hilo. Mgeni rasmi katika kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchi ,katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii ,Maimuna Tarishi akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa kongamano hilo linalofanyika jijini Mwanza. Baadhi ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia hotuba pamoja na mijadala mbalimbali inayo endelea katika kongamano hilo. Baadhi ya wahar...

Tizama:WALICHOFANYA WAANDAAJI WA KILI MUSIC TOUR KATIKA UWANJA WA USHIRIKA

Image