BONDIA ALIBABA WA KILIMANJARO AJIFUA KWA AJILI YA PAMBANO LAKE KESHO DHIDI YA MBUNDA WA RUVUMA

Bondia Alibaba Ramadhani akijifua katika Gym ya Luis iliyopo KCMC kwa ajili ya pambano lake la kesho katika ukumbi wa YMCA dhidi ya Bondia Roy Mbunda kutoka Ruvuma.
Bondia Alibaba Ramadhan akiwa katika mazoezi makali chini ya kocha wake Pascaly Bruno.
Bondia Alibaba akizungumza na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini kuhusiana na pambano hilo.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

CHUO KIKUU CHA MZUMBE WAZINDUA KITUO CHA KUTOA MSAADA WA KISHERIA

TIB YAKABIDHI MICHORO HALISI YA KITUO CHA MABASI KWA UONGOZI WA MANISPAA YA MOSHI.

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA.