TAZAMA YANGA ILIVYOSHIKA MJI WA MOSHI KWA MUDA WA SAA 48 SEHEMU YA KWANZA.

Baadhi ya wafanyabiashara walitumia fursa ya ujio wa Yanga mkoani Kilimanjaro kuuza jezi za timu hiyo pamoja na Simba.
Maelefu ya mashabiki wa mchezo wa soka walifurika uwanjani kushuhudia pambano hilo.
Basi la Yanga likiwasili katika uwanja wa Ushirika .
Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluym akishuka kwenye basi.
Kocha wa makipa wa Yanga Juma Pondamali akiingia uwanjani hapo.
Golipkipa wa timu ya Yanga Deogratius Munishi'Dida'akishuka toka kwenye basi lao.
Mchezaji Nizar Khalfan akishuka.
Mchezaji Didier Kavumbagu.
Mbuyi Twite pia akashuka toka kweney basi.
Canavaro na Kelvin Yondani nao wakateremka.
Mchezaji Reliant Lusajo akashuka na kumkumbuka afande Pattie wakapeana kono.
Nizar Khalifan.
Akashuka Chumvi,Frank Domayo.
Baadae Jerryson Tegete.
Kisha winga machachari Mrisho Ngasa.
Mshabiki wakaomba angalau wapate kumbukumbu katika simu zao.

Comments

  1. sasa mbona mashabiki uwanjani hautuonyeshi?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WATIKISA MKOANI KILIMANJARO.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,SAID MECKY SADICKY AFANYA ZIARA KATIKA MAGHALA NA MADUKA YA MARENGA INVESTMENT KUJIONEA HALI YA TATIZO LA SUKARI

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA.